Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@americanoice4shot_: cmn pengen up bntr, delete soon
americano ice
Open In TikTok:
Region: ID
Wednesday 11 November 2026 07:31:22 GMT
211
30
0
0
Music
Download
No Watermark .mp4 (
1.29MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
1.29MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @americanoice4shot_, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
i think couples who intentionally take time to focus on their mental health are already a MILE ahead of so many #datinghacks #mentalhealthtiktok #mentalhealthtok #relationshiptips #relationshiphacks
اخلط النصر 😂😂😂😂😂😂😂
#الخوير_سلطنة_عمان #العذيبة_مسقط💓💓💓🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🖤🖤 #الموالح #العذيبة_مسقط💓💓💓🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🖤🖤 #سوريا_تركيا_العراق_السعودية_الكويت حلويات قصر سلطان 92540708
SERIKALI YAPUNGUZA FAINI ZA MAKOSA YA PIKIPIKI NA BAJAJI ZANZIBAR ✍🏻 @rashidbattashy Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepunguza viwango vya faini kwa baadhi ya makosa ya usafiri wa pikipiki, bodaboda na bajaji, hatua iliyokuja kufuatia maoni, ushauri na malalamiko yaliyowasilishwa na wananchi na wadau wa sekta hiyo. Akizungumza kuhusu marekebisho hayo, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, @dr.khalidsalum , amesema miongoni mwa mabadiliko yaliyofanyika ni kupunguza faini ya kuendesha chombo bila usajili kutoka shilingi 699,000 hadi shilingi 100,000. Aidha, faini ya kuendesha chombo bila leseni ya njia (Road Licence) imepunguzwa kutoka shilingi 466,000 hadi 50,000, huku kuendesha chombo bila leseni ya udereva ikishuka kutoka shilingi 116,000 hadi shilingi 50,000. Katika makosa mengine, faini ya kutoa huduma bila leseni ya biashara imepunguzwa kutoka shilingi 100,000 hadi 50,000, kushindwa kuonesha leseni ya udereva au biashara baada ya saa 24 kutoka shilingi 116,000 hadi 25,000, pamoja na kuendesha chombo bila vioo kutoka shilingi 80,000 hadi 23,000. Vilevile, faini ya kutokuvaa kofia ngumu (Helmet) imepunguzwa kutoka shilingi 80,000 hadi 30,000, huku kuendesha chombo kwa mwendo mkubwa ikipunguzwa kutoka shilingi 233,000 hadi shilingi 50,000. Dkt. Khalid amesema marekebisho hayo yanalenga kuweka uwiano kati ya utekelezaji wa sheria na mazingira halisi ya sekta ya usafiri wa pikipiki na bajaji, huku akisisitiza kuwa kupunguzwa kwa faini hizo hakumaanishi Serikali imelegeza msimamo wake katika kusimamia usalama barabarani. Ameeleza kuwa viwango hivyo vipya vya faini vitaanza kutumika rasmi Desemba Mosi mwaka 2026 na vinawahusu madereva wa pikipiki, bodaboda na bajaji pekee, huku vyombo vingine vya moto vikiendelea kutozwa faini kwa mujibu wa viwango vilivyopo katika Sheria ya Usafiri Barabarani Na. 7 ya mwaka 2003.
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy