alietoa pesa zamatibabu alifariki hafla anaitwa Turki alikua mbunge wa mpendae Zanzibar
2026-11-16 07:41:16
3
thabitichiumbo :
Magufuli alifanya mengi machafu sema wakatoliki wanajiambia hawajui kazi yao ni uchochezi tu
2026-11-22 08:42:30
1
Athumani Mseti :
Mwanangu unaongea madini tupu
2026-11-11 18:50:45
2
janeymoshi :
Unachoongea ni ukweli mtupu
2026-11-12 12:16:37
1
Puyo Salumu :
kwer nioo
2026-11-11 12:31:08
1
Kala Mzuluvendi :
Kwan serikali ya awamu ya sita inamtetea Tundu Lissu?
2026-11-19 18:24:34
0
dotomtei :
nikwanini serikali ya awamu ya Tano walitaka lisu auawe
2026-11-20 13:30:22
0
hongkong man :
mungu akulinde broo
unaingea poit tupu
2026-11-17 16:56:08
1
user8872292115306 :
nakuelewa sana mkuu
2026-11-17 20:28:39
0
Benjamini mbona :
kwani serikali ya awamu ya Tano ilikuwa ccm au chadema[Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-11 08:57:55
0
saantz :
walinyamazishwa kimya hao ni wanafiki
2026-11-11 09:03:39
3
Nassoro Mkwanje :
Lissu alitetewa na Mbowe tu peke yake hakuna Cha Heche Kitima Bagonza Gwajima Mwabukusi Msigwa Madereka nk wote hao walitulia tu wanakula bata kana kwamba hakuna kilichomtokea Lissu JE leo uchungu huu wa ghafla umetokea wapi? Mnisaidie jibu
2026-11-12 07:20:40
1
huyo ni mimi kabisa :
kwa sababu ilikuwa ya kikatoliki
2026-11-11 18:49:28
1
sadd'h..01🫵 :
YAANI waliemleta wasifanywe chochote ety aliyempokea ndyo afukuzwe kazi😂😂😂