@jambotv_: VIDEO: Wakili Peter Kibatala @peterkibatala alipoulizwa mtazamo wake kufuatia hukumu ya miaka minne gerezani kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kutokana na kosa la uchochezi na juu ya rufaa dhidi ya hukumu hiyo amesema kuwa yeye binafsi anaona yapo mambo lukuki ya kujadiliwa katika Mahakama ya Rufani juu ya hukumu hiyo. "Mimi kama Wakili kama nitapata nafasi ya kuchakata rufaa kuna mambo 1,000 ya kusema lakini kuna mahali pake pa kuyasemea lakini hata niseme nini sasa hivi haitabadilisha kile ambacho tayari kimeamuliwa" Amesema Wakili Kibatala jana Novemba 10, 2026 Mahambe, Wilaya ya Ikungi mkoani Singida aliposhiriki mazishi ya kaka wa Lissu Marehemu Alute Mughwai Lissu. Hata hivyo ameongeza kuwa mwenye uamuzi wa nani atakuwa kwenye jopo la Mawakili watakaochakata rufaa hiyo ni Lissu pamoja na chama chake cha @chadematzofficial na kama
m2 qnqejuwa mqmbo haongei sana barikiwa kaka mkubwa
2026-11-11 09:29:45
3
king cobra :
hongera sana kibatala wewe ni kioo cha jamii na sauti ya wengine
2026-11-11 09:15:02
2
Ayatollah mhongole Khamenei :
fund wang
2026-11-11 19:04:23
1
W3 :
kibatala nakukubali sana
2026-11-11 08:56:26
2
saeed Allzaray :
mahakama ni chombo cha kusimamia sheria bbbasss
2026-11-12 06:23:29
0
Huyu Jamaa Ameifanya Bongo Fle :
wambie majaji walikosea kutoa ukumu
2026-11-12 04:45:05
0
Hussein :
uyu ndo mwanasheria wa taifa au
2026-11-11 16:36:29
1
Bjs Company :
mwamba uyuuuu apo oyeeeeeeeeeeeeee💪💪💪💪💪💪💪
2026-11-11 08:51:37
3
sayukitztv :
Mwamba kibatala.
2026-11-11 08:47:23
1
mussasameer0 :
tuko wangapi ambao tumemuona kibatala anaporoja 🤣
2026-11-11 20:48:44
0
مختر ابرذك :
Sasa huyu alikua wapi sku zote mpaka mwenzake kafungwa?😂
2026-11-11 13:28:02
2
Shax :
namkuhali sana mwamba
2026-11-11 09:18:34
0
Buthaynah :
Mwamba huyu hapa 😂🔥
2026-11-11 11:30:48
0
chuga :
kisomi hatari kama nakuona kwenye jopo la rufaa ikikupendeza niite peter kibatala swali no.1 unaitambua mahakama ya kisutu??' unajua kuna kesi ya uchochezi ambayo ilisimama kungojea kesi kubwa ya uhaini?? ndiyo?kifungu gani cha.law kilichotumika kusikiliza kesi ya uchochezi mahakama kuu??
2026-11-11 10:57:23
1
Florid Fidelis :
💪💪💪💪💪💪💪💪
2026-11-11 15:53:57
0
To see more videos from user @jambotv_, please go to the Tikwm
homepage.