ulinzi,naomba Mungu siku zote nisiludie kuwa mlinzi mimi
2026-11-17 06:27:52
3
Moeh de saeed :
inategemea udereva upo [Tears of joy]
2026-11-20 06:58:46
1
Nevergiveup :
nlpata hasara kwny madin 30m nlkua sjaijua mifumo nikaamua kutulia kufungua mwalo nikaweka tena 60m mambo yalibadlka nilpoenda plant nikakutana na gram 840 kwa mara ya kwanza nikapata milion250 kiukwel madini yana hela ila ni kaz ngum balaa inatakaka ujuzi ukaze uvumilvu
2026-11-11 13:14:08
11
Mr khan Steven :
kweny udereva apo toa weka ufundi
2026-11-12 11:14:54
7
G_Kanakamfumu :
Dereva pesa zake zinabaki kwa Askari yeye anabaki na Leseni yake tu 😅
2026-11-11 22:53:05
6
Seif Swala :
udereva inategemeana unaendesha kampuni gani au ofisi gani...
2026-11-17 14:14:15
5
Day :
kwenye udereva umekosea hivyo taarifa yako ni batili.