@trimishoes:

Trimishoes
Trimishoes
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 08:19:05 GMT
28039
648
38
502

Music

Download

Comments

ruu126664
Ruu :
Nawaza na dada ameondoka
2026-11-11 13:05:33
2
irenehatibu
Gundani Store🌸 :
Mtumeeee😂😂😂
2026-11-11 09:56:14
16
catheshabala
Emoslyan keon :
why mtutishie watoto wetu tumejiandaa kuchanganyikiwa mkituona barabarani tunaongea wenyewe mtuachee ndo likizo hiyoo[Tears of joy]
2026-11-11 14:48:16
1
iam_sarayah
rayahcakes🎀 :
Ila malaika 😂
2026-11-11 14:12:22
3
salkiyum
sam_glammy✨️❤️ :
hapa ndio kwanza shule zinafungwa mbona tutanyooka🙌🏻😂😂
2026-11-11 14:12:38
3
saviourlife
unknowparson :
don't bother the bothering 😅😅
2026-11-11 13:22:30
2
officallsally095
💦cute sally 🦋🦒 :
Nasikia kuchanganyikiwa kbisa
2026-11-11 14:05:44
1
user59668033968338
Getrude :
Nimekwisha mm
2026-11-11 13:30:37
1
nisher435
nisha :
Sasa kama maji mmeweka mbali na kimo chake? Ni kama kasema wacha nitumie njia mbadala nisisumbue watu kuja kunichulia
2026-11-11 14:53:02
0
user965440070763
happy mumwi :
yaani huyu ni wakwangu kabisa 😆
2026-11-11 14:43:48
0
syandene2
Eneair apple-back up :
Nachoka mimi khaa
2026-11-11 15:14:27
0
naj__225
𝓷𝓪𝓳 🦋💕 :
huyu kma c lastborn huyu mmhh hpna jmn🤣🤣🙌
2026-11-11 13:23:05
0
hadija.tawaqal
Hadija Tawaqal :
Duh!!! kazi ipo
2026-11-11 13:20:55
0
shasta.karina
shasta karina :
jamani
2026-11-11 14:25:42
0
ahlamabdilah7
Ahlamy :
2026-11-11 13:23:03
0
whitneylema472
can :
2026-11-11 10:28:28
0
queenj4cky6
♤~jacky☆❤️ :
😂😂
2026-11-11 14:21:04
0
yuuh0656
🦋yuuh🦋 :
2026-11-11 14:13:57
0
jacky.kibangu
Jacky Kibangu :
Ndio kwanza kafunga shule j3 leo nimekuta sabuni yangu ya elfu 25 ya kipande imeyeyushwa imewekwa kwenye kopo la shower gel imejazwa maji Kuuliza naambiwa sabuni ya chooni imeisha ndio kaona aweke hiyo...apo kuna kikosi kingne kinaingia ijumaa
2026-11-11 15:17:18
0
irenehatibu
Gundani Store🌸 :
Kwaiyo anaingia kwenye friji😂😂😂
2026-11-11 09:57:18
0
girly.bloom0
GirlyBloom🩷 :
Joto kali jamnii😁😁
2026-11-11 11:23:03
1
melanin3630
Melanin :
Alikuwa na kiu Sanaa
2026-11-11 12:54:40
0
giinah79
Giinah🥰 :
kakimaliza kaanze kukohoa😅
2026-11-11 13:29:58
0
mwiza199
mwiza199 :
mmh uyu nomaaa😁😁 maji ya balidi na ana kikohozi iko hatalii
2026-11-11 14:52:08
0
ayaan.henna6
ayaan henna :
likizo zimeanza
2026-11-11 15:09:19
0
To see more videos from user @trimishoes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About