mwamba jamaa mtoto wake kafaliki huku anadai million 27 kampuni ya mchin, na alienda kuwaomba wampe milioni 4 Kwa pesa alizokuwa anadai ampeleke mtoto akafanyiwe upasuaji,wakamueleza asubil akasubil mwezi 1 hawakumpa,wakamletea miyeyusho Hadi mtoto kufariki.......kwahiyo hizo ni hasira mamaeee
2026-11-11 16:02:51
3
The seed of God :
is this Kenya?
2026-11-11 16:29:52
0
delicious :
jamaaa na bosi wote wamezinguaaa man
2026-11-11 15:54:40
0
Mustafa Mbogo :
ila hyo ni fundisho maana yke usifanyishe mtu kzi bila ya malipo au kumcheleweshea muda mwngi bala ya malipo
2026-11-11 15:58:16
0
jafari mpoyo :
mpeni ela yake
2026-11-11 16:29:23
0
benny :
hindo tafsiri ya nilipe nisepe
2026-11-11 16:25:11
0
emma :
hapo ni wap
2026-11-11 15:54:34
0
it's J.m.s :
tulio sikia au niondoke na mashine nikaichome moto tujuwane
2026-11-11 16:30:45
0
Denis Mbeda :
mimi pia op Ata mimi ningefanya hiv ela nying sana pajamaa kapoteza mtoto
2026-11-11 16:24:46
0
juma juma4 :
ungechoma hiyo excavator ningekuona mjanja[Laughing]
2026-11-11 16:10:35
0
Charles Lusekelo :
nilipe nisepe
2026-11-11 16:08:26
0
Edson Lupinda :
safeeee sindo maopareta bana ukizingua tunakuzingua safeee mlipeni pesa zake ss
2026-11-11 15:55:27
0
Youzo khan :
some times maboss wanamambo ya kingese sanaaa🖕🏿
2026-11-11 15:55:03
0
CHOTARA :
😂😂😂
2026-11-11 16:35:16
0
To see more videos from user @dalevotz, please go to the Tikwm
homepage.