@rev.adonijah1: Udhehebu ulianzia hapa #tanziantiktok🇹🇿 #fypviral #tiktokkenya #gospelstories

Rev. Adonia Charles
Rev. Adonia Charles
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 09:16:59 GMT
4427
234
17
23

Music

Download

Comments

jacobnduya
Quantum _Vibe :
na bado yanagawanyika kwa kasi😊
2026-11-14 07:28:24
1
injili.ya.utukufu
INJILI YA UTUKUFU :
Hakika UMADHEHEBU na UDINI ni machukizo mbele za BWANA, ila tutumie HEKIMA na kulinda HISIA dhidi ya mitazamo ya wengine na kuacha KUJIHESABIA HAKI
2026-11-12 09:38:27
1
nelsonkasiti
nellyvile :
Hao waliokuwa wanaitisha mtaguso ni akjna nani?
2026-11-11 17:08:06
1
nikoambaeniko
niko ambae niko :
naulizwaga sana hil
2026-11-17 17:57:29
0
simonshija7661
simonshija7661 :
Asante kwa elimu hii
2026-11-15 10:43:12
0
user2788402020611
njox :
Mat 16:18 ... nitalijenga kanisa langu... Jaribu kujifinza bila ya kukurupuka. Mat 18:17 ... liambie kanisa.... Mdo 2:47 ...Bwana akalizidisha kanisa... Haya yote hayakusemwa na Paulo. Wote walio mwamini Yesu waliitwa majina mbalimbali, Wakristo, wanafinzi, watu wa njia hii n.k. Majina si utakatifu Cha muhimu ni kumfuata, kumwamini na kumtegemea Yesu kwa wokovu wa mtu. Vyovyote utakavyo mwita mtu, haileti tofauti yoyote ile.
2026-11-14 06:59:45
0
jafari.kaseja
Jafari Kaseja :
DANIELI 7:25
2026-11-11 13:20:02
0
user97373159559562
Eleen :
Mbona hujaanza na dhehebu la Catholic ambalo lilianzishwa mara tu ya kifo cha Kristo mwaka 33?
2026-11-17 09:11:28
0
user5749406007747
daudi paulo diko :
shalomu mtumishi wa Mungu. najifunza mengi sana kutoka kwako Mungu akubariki sana uwe na afya njema na maisha marefu
2026-11-19 09:32:06
0
mtumwa.asiye.na.f
MTUMWA ASIYE NA FAIDA :
Sawa ila tambua ipo Elim
2026-11-11 11:39:26
0
mashix1138
Mashix :
samahani pr unapatikana kanisan Gani?
2026-11-15 17:04:37
0
hanafi.zayumba
Hanafi Zayumba :
Cha ajabu yesu haja wai ingia kanisana ni wafarume wa Dunia Yani viongozi wa kisiasa ya Dunia ndio wamembambikizia yesu.paulo amewaingiza chaka.huyo Paulo hakuna myahudi Wala mwarabu Paulo ni mzungu ni ujanja ujanja wa wazungu walioona wazungu ili tutawale Dunia lazima tuunde ukristo bandia tujibambikize kwa yesu ili wakubalike na wamefanikiwa kuapogeza wengi
2026-11-13 12:56:44
0
jacobnduya
Quantum _Vibe :
kumbe uislamu ulikuja ili kutumia fursa ya wakristo kugawanyika😊
2026-11-14 07:27:32
0
naimanazael
Melissa's_galcheeastafrica :
@.
2026-11-14 18:34:58
0
geofreyombationserio
GEOFREY OMBATI ONSERIO :
Mimi naomba story ya Sda church penye ilianzia na vile imekuwa ikigagwanyika je ya kwanza ndo gani sasa?
2026-11-11 14:53:40
0
doubleaafarm
abdul mussa :
Hakuna andiko linalomnukuu Yesu akisema: "Nimekuja kuanzisha dini ya Ukristo" au "Nimekuja kuwafundisha Ukristo." Badala yake, Biblia inamwonyesha Yesu akifundisha mambo yafuatayo: 1. Yesu alitumwa kwa wana wa Israeli Mathayo 15:24 "Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli." 2. Yesu alifundisha kumwabudu Mungu mmoja Yohana 17:3 "Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma." 3. Yesu alifundisha kushika amri za Mungu Mathayo 19:17 "...Lakini ukitaka kuingia katika uzima, zishike amri." 4. Jina Wakristo lilitokea baadaye Matendo 11:26 "...Na huko Antiokia wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza."
2026-11-12 05:47:46
0
To see more videos from user @rev.adonijah1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About