ishia hapo kwa wakwanza usiendelee mtumishi[Tears of joy]
2026-11-12 07:33:25
2
Edward khisa :
padre watu huyo thank you so
much Father 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-11-11 20:44:39
1
Tarimo's daughter💖 :
apoapo wa kwanza ata usiendelee mbali😅
2026-11-12 05:41:52
8
moreen :
wakwanza penzi ntapata kwa jirani
2026-11-12 05:15:26
5
Elizabeth Chuwa :
huyo wa kwanza 😂😂😂
2026-11-12 08:49:08
1
neemamrosso :
kabla ya kuendelea nataka huyo wa kwanza
2026-11-11 17:00:45
20
Beatrice Lucas :
Wangu hana hela na muda hana ila hamwezi amini 28 disemba tuna jubilei ya miaka 20 ya ndoa
2026-11-11 17:49:32
10
MASANJU :
wakwanz jmni
2026-11-12 08:44:15
1
luizsamwel :
uyo wakwanza anapatikana wapi 😁
2026-11-11 15:46:05
8
Delly :
wa kwanza baba ao wengine tufanye hawapo
2026-11-11 20:37:02
5
Quiler :
Baba wa pesa ndompango mzima
2026-11-11 16:51:04
6
sleeze :
ishia huyohuyo wa kwanza 🥰
2026-11-12 08:06:06
1
Elizabeth :
First one
2026-11-11 21:43:49
0
mcutehney :
huyo wa kurusha ela namuomba baba Mungu mwenyezi 🙏
2026-11-11 18:33:03
5
mama light💞 :
kabla ujataja wa pili naomba unipe huyu wa hela kwanza 😁😁
2026-11-11 14:51:47
5
Nyalwe Cuul :
Huyo wa kwanza 🥰🥰🥰🥰
2026-11-11 21:41:08
1
magreth :
amina
2026-11-11 19:49:00
1
Devotha Yango :
huyo nitakaa nae ili ninunue kiwanja changu nikimaliza tu naondoka namuacha na pesa zake mi nitachukuwa mwenye pesa izo.pesa ananiachia nafanya maendeleo yangu bila yeye kujuwa nikimaliza kujenga nafungua biashara naondoka namuacha na pesa zake
2026-11-11 23:26:18
0
E ,NGAILO :
umetishaaa mtumishi
2026-11-11 19:31:20
1
Irrene Minja :
uwii😂mmh😂
2026-11-12 06:16:53
1
user851996962538 :
Wa kwanza tuu ananitosha baba
2026-11-12 07:47:18
2
Christina :
Mm ndio namtaka uyo wakwanza
2026-11-12 06:12:42
1
user miss s🌺🌹 :
ongeza wa 3nichague🤣🤣
2026-11-12 06:34:25
1
jaaksking1 :
apo pa kwanza wla usi malizie baba
2026-11-12 07:27:41
2
To see more videos from user @nenojema_tv, please go to the Tikwm
homepage.