@tanesco_official: Nimeona kuna kifaru ameniita huko si mnajua kwamba mimi ndiye kaka yenu mkubwa wote sasa ndugu mteja utashauri tuendelee kuwawashia wa mbugani uwaone big 5 au tuwawashie wa hapa Dar wakupatie utambulisho wako? 😂😂 Sisi ni watoto wa baba mmoja, ila mama ndo mbalimbali! 🤣🤣 Hebu kwanza niitieni hao majirani
Mwanagenzi, nikikufundisha kulima usije kulima kwenye shamba langu [Tears of joy]
2026-11-11 20:39:56
8
Kazaura_Jr :
mwanga wa milele uwaangazie😂😂
2026-11-11 12:42:28
2
Sagacious :
nida bora umkatie tu umeme cos toka January nime jaza fomu ya ku renew kitambulisho changu lakini mpaka sasa ata kunitumia SMS ya kuwa wamefikia wapi kawasaki na 20k yangu wameshakula
2026-11-11 16:51:38
3
『C9』𝐁𝐢𝐠_𝐏𝐨𝐩𝐚𝟑𝟑🤍🖤 :
tena msije kuzima na helinino hii mtakuj kutuuwa angazeni hivyo hivyo
2026-11-11 13:20:30
3
CleanFarm :
mzimie Nida umeme
2026-11-11 11:05:06
0
Miss mgopa 🦋♥️🧚♀️ :
Sikia mwanangu mita yangu imehalibika napata shida kuingiza umeme Njoo bs unibadilishie mita napata shida sana
2026-11-11 20:24:13
0
SelemanArthur :
[Tears of joy][Tears of joy] Sasa huyo wa 1 unamuangaziaje ndugu admin
2026-11-11 19:05:10
0
Hey-its sussie 🍉 :
Baba faru anasema umuwezi muoneshe moto wako
2026-11-11 12:46:21
1
It's Maggie 💫🦋 :
Nashukuru Admin Kwa Kukata Umeme Muda huu Nisipike nimechoka Veep 🤝
2026-11-11 15:41:35
0
Husna OSman :
🤣🤣🤣
2026-11-11 10:15:13
0
this mujeeb :
Kama ndio hivi na taarifa ya habari tutaangalia [Snicker][Snicker][Heartwarming]
2026-11-11 20:43:07
0
Johnson :
mnazingua umeme wa Nzega kama nyasi yaani hata manyunyu unazima kwanza ummeniunguzia friji langu la M1. 4😌
2026-11-11 14:50:09
0
Naryn :
Hii vita ndo kwanza inaanza😂😂 Uku wa Ngorongoro, kule wa Nida. kaka Tanesco anawachora ru madogo
2026-11-11 12:49:02
2
Anoga :
bora ngorongoro alipewa wanyama. angepewa Umeme nadhani "kwisha sisi"
2026-11-11 12:49:10
0
Smart 🤓🤓™ :
wote hawaend bila umeme
2026-11-11 12:44:29
2
fifiy💜 :
Zimia wa mbugan yule bhn atapig story n wenzie huko porini🤣
2026-11-11 18:16:05
0
从Ƭ亗. Kebby :
Kuna huu umeme wa kahama unazima na kuwaka kama biting za Amapiano [Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-11 16:11:42
0
Olaedo🍀 :
huyu kahamia huku tena
2026-11-11 14:49:26
0
🧸𝑮𝑬𝑬 𝑻𝑼𝑵𝑫𝑨🧸… :
Msamehe NGORONGORO ILA NIDA MZIMIE UMEME KWAKWELI
2026-11-11 12:42:56
0
SANZEFAMILY :
ongeeni na ZECO mpunguze kutukatia,imekuwa kama salio la mkopo mpaka kwenda saloon siku hizi tunaogopa....
2026-11-11 18:25:35
0
nurdeejr🔵 :
Huku utaacha ndala 😂😂
2026-11-11 22:14:18
0
habib24950 :
Hiii vita km hujenda mbugani huwezi elewa😂😂😂
2026-11-11 15:38:01
0
Beatrice ❤️ :
usitufokee wana ngorongoro[Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-11-11 21:19:43
0
Brilly :
mmeshatuzimia umeme kigamboni mnashida gan lkn 😭😭😭Yan joto hili unalala kama unapikwa💔💔
2026-11-11 22:34:23
0
King Nessah :
Hahaha Early in the year the banks were feuding now it's y'all. This is so funny 😂😂😂
2026-11-12 02:36:45
0
To see more videos from user @tanesco_official, please go to the Tikwm
homepage.