@tanzania_kwanza: Operator wa excavator aliyetrend kwa kubomoa mali za wachina kisa kukosa malipo yake

Tanzania_kwanza
Tanzania_kwanza
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 09:58:06 GMT
52060
908
46
57

Music

Download

Comments

mwilak_
Mwila :
Cameraman needs lessons 🤔
2026-11-14 00:30:18
0
suleyofficially
OFFICIALLY SULEY :
watu kama hawa ndo tunawo waitaji wana msaada sana
2026-11-11 19:20:44
26
iamjoyce254
you🫵 :
We need 3 operator like him in every construction site
2026-11-13 16:34:26
0
diego.maxter
Diego maxter :
saf xana wamezoea aoooo
2026-11-13 16:25:13
0
delvinakullaya8
laddie 998 :
Itakuwa aliambiwa sikulipi na huna cha kunifanya😊... mahakamani anajua hawezi kusaidika
2026-11-11 14:43:01
22
shetteh8
shetteh🎯 :
Mpeeni haki yake
2026-11-14 11:36:57
1
joyce18600
Joyce :
mtu muhimu sana katika nchi hii.
2026-11-12 08:49:14
12
rashidanjigale
Irshaad :
Fundisho safi kabisa
2026-11-12 02:16:37
6
alex.sichone4
Alex Sichone :
unaweza kumlaumu kwann hakwenda mahakaman kushtaki lkn pia unajiuliza kusimama mahakaman na mtu mwenye pesa kwenye hz mahakama zetu je utashinda kesi? basi ndo linakuja suala la sheria mkononi
2026-11-12 17:47:06
4
user7376222439623
lenaa tz8989 :
watu weg hawajui wachina jau sana tena sna naisi ambao tumesha fanya nao kazi tunajuwa
2026-11-12 08:13:34
2
user41425131140074
user41425131140074 :
jua kali kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake
2026-11-11 17:34:03
3
yamus2873
yamus :
huruma si malez
2026-11-12 07:22:54
2
george.mlimila
George Mlimila :
watoto wanaonaunafanyakazi lakinichakula hakuna maboss tujifunze kwahili
2026-11-11 16:35:42
0
city.workers
City work's construction :
Gezzz wote wangekuwa hivyo nchi ilikuwa sala.a sasa
2026-11-13 09:26:16
0
ukweli.tu2
Ukweli Tu :
nmesikia uko anasema "yugivu mane" 😂😂😂
2026-11-12 19:59:35
0
user9328698781681
mery ya ujazo mwz9328698781681 :
boos wana zarau watu wario waajili
2026-11-13 12:08:04
0
biancabecky05
Bianca 25th December🇰🇪🇭🇹 :
ni kama n pesa mingi ak mtu hawezi fanya hivi kwa pesa kidogo
2026-11-13 18:29:06
0
cardozavanny
Doza vanny :
Kama anatupiga bonaza sisi atashindwa kukudhulumu pesa yako🤣🤣
2026-11-12 20:13:59
0
steven.budodi
STEVEN MATHIAS 👟 🚛 :
saaaafi
2026-11-12 09:32:22
0
petsysk
Matsyk :
waaah hii ni mbaya
2026-11-12 06:25:44
0
sheria.abdul
Sheria Abdul :
ametuwakilisha vizuri
2026-11-12 18:22:13
0
salimuchampion
salimu :
Alo ma opi naitaji kujua hii mashine iko kwenye moto namb ngap
2026-11-12 10:16:30
0
24edrine
⚠️Mr SOFERI UG 🚛 :
Mungu Kama hii 🤒😭
2026-11-12 07:43:15
0
masauti428
PROF:YASINI MARINGUMU MASAUT :
nini kinamuangusha grace
2026-11-12 08:39:53
0
nurudaudyyohana
nurudaudyyohana :
Op wa taifa 🤝
2026-11-13 19:18:49
0
To see more videos from user @tanzania_kwanza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About