Haihitaji kutumia akili kubwa kukuelewa kaka hongera sana
2026-11-11 20:40:17
2
عبدالرحمن 🥰🥰🥰 :
maashaallah nimeelewa umetumia lugha ya busara halileti ugomvi😂😂😂
2026-11-11 19:39:48
2
abduliali31 :
Iyo ni Zanzibar kabisa
2026-11-12 06:06:04
1
Ntendeni Street :
nimejaribu kutafuta utube cjaikuta
2026-11-12 02:55:19
1
yunusabrahman :
mtunzi wa hili shairi mashallah
maana tafsida yake ipo vzur umeficha
umetumia maneno ya ndani mwenye kusikiliza ubongo wa msikilizaji acha ngamshe akili hongera sana
2026-11-11 10:55:24
2
@Alwatan Misky❤️ :
doh maskiniweee 🥺
2026-11-11 20:20:11
1
alish :
tamaa hatari
2026-11-11 19:52:47
1
ummukelly :
❤️❤️❤️
2026-11-12 10:04:49
1
Hamoud Badru Hamoud :
mashaallah
2026-11-11 19:07:31
1
Tauhida sheha :
Maashallah Maashallah Maashallah
2026-11-11 16:04:33
1
alimkalm :
2026-11-11 11:13:55
1
Aboubakar Habib🇹🇿 :
jamani ni hii hii Lugha YETU adwhim ya kiswahili [Big LOL][Big LOL]Ng'wafung'wafuuu? Mola akuweke Ghassan[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-12 07:33:50
1
To see more videos from user @betizaghassani, please go to the Tikwm
homepage.