@mc_tonny_: ☎️ 0792700000 @siwalaze.apartment #viralvideo #viraltiktok #fyp #reels #video

MC Tonny
MC Tonny
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 10:19:35 GMT
243450
19904
732
332

Music

Download

Comments

ibrahim.manyanda
Ibrack,,,,,,🇹🇿 :
huyu wangu nimemuwahi
2026-11-11 12:15:58
463
vibrance123456
VIBRANCE💄 :
Hawa wanatufanya tunaonekana matapeli 😂
2026-11-11 15:01:48
249
alkindy91
alkindy :
huyu ndio msichana hongera wazazi wake kwa kweli
2026-11-11 11:25:12
327
shende534
shende cosmetics ❄️ :
A few moment ……..
2026-11-25 05:48:27
0
jacobhellen46
#it's me again..🫂 :
Angel umetshaaa😂😂😂🙌
2026-11-11 11:58:19
6
kulwamasaka
kulwa masaka :
me uyu wala sitoweza kumrecodi sinaga ayo ntamtafuta[Heartwarming][Snicker]
2026-11-11 12:43:09
23
imeldamtenga803
immy :
yan 5k na mnashangaa jmn mi iyo 5k inaenda mpak siku 3🤭
2026-11-11 13:26:24
117
makalanga19
makalanga :
msukuma ni msukuma tu kauliza apartment ni nini hajaringa anataka kujua lakini bado kuna watu wanasema wasukuma washamba,jamani ndivyo tulivyo na sisi huwa tumenyooka dada kajibu vizuri kabisaa uhalisia wa maisha yake hafeki.
2026-11-11 13:51:06
58
muuhpacha_02
MUUHPACHA_PIXELZ📸 :
Huyu niachien wanangu uchumi wangu kabsaa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-11 12:09:10
61
yamotomyfamillydayog
yamoto my familly day og :
eeee 5000
2026-11-25 16:36:41
0
angela.kayabu
Angel Kayabu :
Msema kweli
2026-11-11 12:21:16
9
thereal_colly
Dat_boi_Colly 🦂 :
ALAF WAKIONAGA CAMERA WANAPUNGUZA SIFURI AWA😂
2026-11-11 13:09:52
23
dadawasimba0
M🦋H :
Mm natumia buku tu! Mchana chapati na maji usiku andazi na maji 😂
2026-11-13 09:19:56
8
abdul.tz19
ABDULLAH TZ✈. :
nimependa mkweli huyo dada.
2026-11-11 11:50:50
52
amaynah23
amaynah23 :
Kuna mm mlo mmoja tu usiku tu
2026-11-13 20:04:24
5
evelyn.lissa6
Evelyn Lissa :
wasukuma hoyeeeeee
2026-11-11 12:16:37
22
gwakisakayunigmail
[email protected] :
ahsante kwa malezi wazaz
2026-11-11 12:23:56
19
selp_investments
SELP Investments :
Mungu amsaidie akafanikiwe apate kazi/biashara nzuri💯💯
2026-11-11 14:42:54
15
enock.mathias3
Enock marco :
dada yangu upo vizur 👍👍
2026-11-11 19:16:51
5
itscaptain24
it's Captain 🩴🧢 :
kazuri mashallah
2026-11-11 15:16:12
6
efootballerpro0
Efootballer :
mbona msukuma huyu mzuri 😂
2026-11-11 13:10:05
7
officialtino71
Pojo nail's💅🏾 :
Thamani kubwa sana ni pale Mungu anapotumia maisha yako kuwa ushuhuda kwa wengine. Maisha yako yawe sababu ya wengine kumjua Kristo, kumpenda na kumfuata. Ukiweza kuwa daraja la kumfikisha mtu kwa Yesu, basi maisha yako yatakuwa na maana kubwa zaidi. Hiyo ndiyo thamani ya kweli ya kuishi
2026-11-11 20:35:49
6
businesscenter.tz
Man of Business Noni𓃵 :
Mdogo wangu yuko Very Smart nimefrahi kukuona na kusikia unaongea Fact
2026-11-12 02:38:04
5
jay.jr38
JAY jr :
yan asubui uli na unatumia 5k asee duu 😳
2026-11-11 12:04:37
15
lebahati.ngobelu
ngobelu lebahati, :
wife Material
2026-11-11 12:07:24
8
To see more videos from user @mc_tonny_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About