Ujue kiukweli uyu mtoto amekosea ni sawa kabisa lakini kulikua amna aja ya kumrekodi ungeweza kumuadhibu tu kimya kimya bila kumuanika mtandaoni kwasababu ukiamuangalia bado ni mdogo hana uwezo wa kuchanganua mambo jamani imagine watu wangapi watamuona na utakua umemuaribia kwakiasi gani ivi vitu kwenye miatandao vinaishi jamani tusiwe kila kitu tunakiweka kwenye mitandao iyo adhabu ya kumpiga tu inatosha au ata polisi mpelekeni ila siyo kwenye mitandao🙏 kama nimekosea mnisameee😩🥹
2026-11-11 12:38:11
7
ANGEL GLOW✨🌸⭐️ :
Kwani ni pepo hii dunia ama nini tumrudie Mungu 😭💔
2026-11-11 12:37:29
6
cozy beary🫂 :
muwape mda wakutoka
2026-11-11 11:54:41
16
Siweeh cathles :
Recho unge mrudisha kwao sio kumpiga na kupost isije ikaleta shida kwako siunajua serikali
2026-11-11 12:30:11
7
BOBBY :
sas mbona nime angalia acaunt nzima sijamuon uyo mtoto 😅
2026-11-11 10:43:04
13
21 always. :
muwape nafasi mabinti wa kazi kutoka ili wapate huduma
2026-11-11 12:48:36
2
MBAPA_OG🦺⚒️ :
acheni kuwanyanyasa watu
2026-11-11 11:33:52
2
❤️Heart Desire❤️🫂 :
Adi nimeogopa jaman uwii 😭😭 inauma
2026-11-11 12:00:28
8
Qwanta_mnyama :
hasa we unatak sababu gan
2026-11-11 12:44:55
0
chagga girl :
eeeeh MUNGU Linda wale watoto wangu Baba🥹
2026-11-11 12:24:34
10
officiall dizq :
we dada ka vp niletee mimi uyo
2026-11-11 12:42:36
1
it's- melalin🍓🥰 :
kuliko kulipigaa bora ulipelekee kwaooo kpnz🥺
2026-11-11 12:41:30
1
Seveliana :
Mmmmmmmh
2026-11-11 12:47:25
0
Mr’s BM🫧🦋 :
We da recho ww😳🫢
2026-11-11 10:47:22
4
DOSSIE_LASTBORN♥️💋 :
EEEH MUNGU WANGU😭😭.....
2026-11-11 11:51:25
0
Diana Hingi :
jaman mim pia nimewahi😔😢😢😢😢 na mtoto wa boss ni stage tu
2026-11-11 12:38:09
0
nah🌹 :
nimeogopa jamni mimi ndo natamani kupata bint awe anakaa na mtoto wangu naogopa
2026-11-11 12:24:41
0
Naveen talha :
jamani yujin ndo anamfanya hivyo😢😢
2026-11-11 10:56:28
0
janeth 🍒🍒 :
mimi dada nafanya kaz za ndani nimtu mzim pia nina mtoto 1 wa kiume lkn huyo kitendo alicho fanya kimeniuma sanaa daah pole sana jmn😥😥😥🙏🙏🙏
2026-11-11 12:23:08
0
agnss kipeta :
mtoto aja umia kwer
2026-11-11 11:54:20
3
🌹💖caylah 💖🌹 :
mbon katuaibish watu wa songea lkn 😳😳😳
2026-11-11 12:39:06
1
fly girl🦋❤️ :
Ila uyo bintiii ni muchawiii jmn
2026-11-11 10:28:46
0
To see more videos from user @user4476810821277, please go to the Tikwm
homepage.