@dayokreivery1: Excavator inaweza kubomoa jengo kwa dakika... Lakini mshahara ukichelewa, inabomoa matumaini ya familia nzima. Mabosi, tujali wafanyakazi wetu. Mshahara ni haki, si hisani. #HeshimaKazini #MshaharaKwaWakati #MigoNunez #Elimu #KaziNaHeshima

Mïgö nünëż🦶🏿💪
Mïgö nünëż🦶🏿💪
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 10:46:10 GMT
29719
727
43
17

Music

Download

Comments

miraji887
chamwana boy,,, :
kama hujapata zalau za waajili utaona Jamaa kakoseya mimi ni muhanga piya
2026-11-11 21:11:19
7
antony.john95
Anthony J Traves💸💲 :
Huruma sio marezi maamuzi magumu hayaitaji vikao ✌️👊 mchina anazarau saana
2026-11-12 06:18:08
4
amy.master4
Amy master🎯 :
maamuz ya kiume
2026-11-11 18:18:37
5
mamutruckdriver055.com
mamu :
ukiamua kufanya maamuzi fanya usirudi nyuma hakuna haki yeyote utapata nchi imechanganyikiwa na watu wake🥺
2026-11-11 20:30:50
3
kulwa.masemba3
Kulwa Masemba :
halafu mtu anasema agenda kwenye Shelia nyie kwann hamumsemi mwaajili kunashidagani mtumzima kafikia halihiyo
2026-11-11 19:30:00
3
yasintastephano5
Bhuinga.jr :
hapo Familia amewakilisha vizuri Wana zalau
2026-11-11 19:38:01
4
seniordevs
🥲 :
uzuri mafuta waliweka full thank. mungu ni mwema
2026-11-11 20:28:31
2
asimwekassa
Ak6 :
iyi ni roho mbaya sana
2026-11-11 20:57:35
2
nehemiah.kipkurui
Nehemiah Kipkurui :
he is a good driver
2026-11-11 21:20:23
2
junky.junior1
junky junior. :
ni mbayaa 😂😅😅😂🤣
2026-11-12 06:07:12
1
ibrah_desouza24
ibrah_desouza24 :
maamuzi magumu hayahitaji vikao
2026-11-11 18:50:08
1
stanleypro8
Am_stanleypro :
Ni jukumu la viongozi wetu kujiuliza: Baada ya miaka 20 ya uwekezaji kutoka China na mataifa mengine, vijana wa Kitanzania watakuwa wamepata manufaa gani katika UJUZI, TEKNOLOJIA, AJIRA na UWEZO WA KIUCHUMI? Kwa sababu uwekezaji wa kweli si kujenga biashara pekee, bali ni kujenga uwezo wa Watanzania kushiriki, kujifunza, kumiliki na kunufaika kiuchumi.
2026-11-11 23:52:45
3
woboreels
wobo reels :
Hio lini hioooo
2026-11-11 17:35:10
1
mr.nomadicboy
Nomadic boy🆕 :
Maamuzi magumu hayataki vikao
2026-11-11 21:31:34
1
giddy2900
giddy :
mimi ningeuza hio tinga
2026-11-11 22:21:00
1
colmanjerominmwac
colmanjerominmwac :
mwamba umetuheshimisha sana ma op hili hali4akiwi viongoz kukushupalia inatakiwa walifanyie Kaz na idara ya OSHA na idara ya Kaz wajitadhimin kuhus waajiriwa tunavyonyanyasika na wao wapo ofcn hatuombinyaendelee ila wakiyachekea yatatupeleka kubaya maana Hawa waajir wanajifanya Wana hela watsimama popote ila umejinyima unyonge mwamba
2026-11-11 20:58:21
1
shaban8432
wille with heart :
kwa serikali yetu ya bongo utasikia yey ndo mkosefu
2026-11-11 20:11:12
1
thomasmaziku
THOMAS MAZIKU :
angefata haki angekosa vyote maana yetu haimthamini mwajiriwa wa chini
2026-11-11 19:53:38
1
user3870947819011
eddy :
huyo yupo sahihiii
2026-11-11 22:23:51
0
ms_auto.parts
ms_auto parts :
OSHA fatilieni matatizo ya watu
2026-11-12 05:47:04
0
becka_tittle001
Officialbecka_tittle001 :
yupo saw huyu
2026-11-11 20:46:22
0
jesusisthe_light
Humphrey mongare. :
Wametuzoea[Pray][Pray][Pray].
2026-11-12 00:06:29
1
.france92
🇫🇷 france :
watanzania wanapenda kushabikia matukio hatari mwisho wa siku atabaki pekeyake
2026-11-12 00:52:10
1
shanty25468
Shanty254 :
Huyo jamaa angelipa hii story haingekuwa sasa ona hasara juu ya ingine
2026-11-11 20:34:44
2
ms_auto.parts
ms_auto parts :
Vunja tu wala hakuna shida
2026-11-12 05:44:23
1
To see more videos from user @dayokreivery1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About