@pci_tanzania: Jifunze jinsi ya kukata collar ya shati hatua kwa hatua pamoja na wanafunzi wetu Kama hujui kushona au unajua kidogo basi usijikatie tamaa Tunapatikana, 📍Kijitonyama, nyuma ya KKKT 📞 0718731438 #PCITanzania #Ushonaji #FashionDesign #creatorsearchinsights #fashiondesigners