@sparoo_made_it: Raha ya kudeka,umpate anaejua kukudekeza 🌹@Unique nunu🦋

Sparoo_Made_it
Sparoo_Made_it
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 11:05:34 GMT
101215
9102
252
511

Music

Download

Comments

user1820974160360
Esther malinyota :
sisi tuliyo pewa sauti nzito nzito tujuwane apa🤣🤣🤣🤣
2026-11-11 19:41:16
65
user2788230281158
witness paul815 :
ona wavodekezana kwenye cm yangu
2026-11-12 17:37:58
5
paulsimoni4
BUSUNGU JR :
unajuwa sipendi kuona watu wana pendana kwenye simu yangu
2026-11-11 20:25:58
34
miss.liy3
miss liy🥰🥰 :
mtumnene akidek anaboa bn😅
2026-11-11 22:06:59
7
chuwaj.r
MR unique 💯🫶 :
machi ayo jamn
2026-11-12 13:03:22
0
anna.meshack8
Miss Anne :
wenye sauti. za bahati bukuku tukutane hapa
2026-11-12 17:23:34
2
missly105
missly105 :
Nataman kudeka ila saut ss ya kudekea sina 😂💔🙌
2026-11-12 14:15:18
3
richmanmgaya4
Richman26 :
ukutane me na baby wangu sasaa kama masela vilee
2026-11-12 19:37:18
2
user1772381622706
sapna :
saut yangu nzito jumlisha konyaji yaan mmewangu atastuka nikongea[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-12 15:29:54
1
cute.merah
cute merah :
wangu nikinuna ananiita majina yote alafu mm nasema staki nyie🥰😂
2026-11-11 17:13:49
8
maryamibrahim7482
maryamibrahim7482 :
mim siwezag Nina lisaut hilo na cpend kudeka cjui kwa sababu ni first born
2026-11-12 16:18:26
2
emmanuelchitema2
emmadimples :
yan sim yangu,,,bando langu,,,Juan lenyewe Kal alaf mnapendan kweny sim yang daah,,,hii inaitwaje
2026-11-12 03:36:52
5
user9132463936590
bint side :
kwani wengine wanawatoaga wapi wakuwabembeleza
2026-11-11 18:02:42
5
zammy3899
zammy🦋 :
mnani kwaza😂
2026-11-11 20:14:36
2
salmaluweja
salma luweja🦋🦋 205 :
ovyooooo
2026-11-12 20:07:54
4
user54782011475
nacha :
Hataninyi mta achana tuw ngoja
2026-11-12 05:58:00
3
user0113544721
maggy mb :
wow sweet 😋 😍
2026-11-12 19:53:12
0
mariamvaghter
Mariam❤️ :
Shida nina sauti ya babaa nitazalilika 😅😅😅
2026-11-12 17:08:29
0
.a.dembele47
@ A DEMBELE@💥47 :
ukiangalia hawa utafkir mapenz ni rahis
2026-11-11 20:14:37
0
umu3563
binti rama :
naonea wiv mapenz ya wengine2😅
2026-11-12 14:53:53
0
user4992548199050
🌀Nadiya🎀🧕 :
Mbn mm aiwezag kulegeza sauti hv jamn[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-12 12:57:32
0
user5342069539941
mama vanvin :
jamani sizani kama Kuna mtu AmBAR bdo ajapitia hii situeshen penzi likiwa jipya
2026-11-11 21:41:07
4
bintjonas02
Princes j💫 :
mim na huyu msukuma wangu nikideka ndo talaka yangu😳
2026-11-12 13:00:09
0
user3579819059860
user3579819059860 :
jmn ayo mapenz yen nd muyafany kweny cm yang
2026-11-12 21:07:48
0
user546902298
Miss nipado girl :
jamni napenda ivo vitu
2026-11-12 20:42:01
1
To see more videos from user @sparoo_made_it, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About