@africatv.2: USITOE TALAKA YA AINA HII MUISLAMU UTAJUTIA#MUISLAM #NDOA #YA #TALAKA

Africa TV2 Swahili
Africa TV2 Swahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 November 2026 07:00:00 GMT
23615
793
28
87

Music

Download

Comments

aminadikwa246
Amina dikwa :
mi naomba kuuliza kama mm nimemchoka mwanaume kwa tabia zake naluhusiwa kuludisha mahali yake tuka achana
2026-11-13 04:37:21
1
user612530586350
user612530586350 :
Talaka ya kwenye sim je inahesabikaje mfano mmepishana kidogo mume kapata hasira kaandika talaka baadae anasema blikua na hasira mmmm simuelewi
2026-11-12 08:33:37
2
.mossi.aboud
💯 MOSSI ABOUD 💞 :
niulize ninashoga angu ameolewa lakini hajatiya saina yeye wala mwanamme kwenye cheti cha ndowa je shehe hii imesihi au
2026-11-12 17:31:12
0
abeid.karume6
Abeid Karume :
hakunakosa kutundika talaka ila wengi wanatundika talaka hawajawatayari kuacha ndio maana wanakusumbieni ila sio kosa
2026-11-12 09:04:46
1
zaharaathumani47
Zahara Athumani415 :
mm na taka kujua mume akikwambia ondoka amekuacha ama imekaaje kisheria
2026-11-13 07:31:38
0
saidliike
saidliike :
Alhabibu umepita vizuri ktk Adwatu ttaaliq
2026-11-13 18:42:38
0
ashashaban39
❤️BINTY SHAABAN :
Asalam alykum je kashakuaacha akikurejea tarak ya kutundika bado ipo
2026-11-12 19:19:07
1
user4484521331876
umu alii :
huyu shee nampenda kwaajil ya Allah🥰
2026-11-12 18:35:16
1
ummu.ibrahim91
Ummu Ibrahim :
yanatokea sana kisha mtu anaruka
2026-11-12 08:08:42
1
warida.mohamedi.m
Warida mohamedi Mohamedi :
asalam alaikum shehe ivi mtu akioa halafu anaulizwa mara 3 anakataa hajaoa je hio ndoa ipo au haipo?
2026-11-13 09:24:22
0
baluti3
hawa baluti :
jamn mi mume wangu aliniambia sahau kama una mume.je hapo mapenz yapo.mi nipo mbali na nyumban
2026-11-13 02:55:53
0
bayuu4149
bayuu :
mtu.ukishakua na ws ws nae ndio unamtundikia talak na ukishaona amekubadilikia sio kW kupenda Ila inabidi ufanye ivo
2026-11-12 16:39:02
0
hasnaharun7
hasnaharun7 :
assalam alaikum warahmatullahi wabarakatu l,Niko na swali. mume wangu alinipa silent treatment for more than 3 months na hanishughulikii kama mke wake kabisa na Niko kwa nyumba moja naye,je hio imefanya ni sawa ata kama ni hasira.
2026-11-12 16:52:59
0
nomarawa
Malikizo :
Sasa Sheikh umeamua kuahirisha inakuweje bado ipo wakati ww mwenyewe ndio ulie tundika Sasa why kuitindua isiwezekane ?
2026-11-12 15:58:17
0
ablatty
ablatty :
@abuubakarabdalla4
2026-11-12 10:02:10
0
To see more videos from user @africatv.2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About