E Mungu wangu naomba mtoto wa mdogoangu aanze kutambaa vizur na kutembea vizur akue kama watoto wengine wanavyo kua Mungu nakuomba sana
2026-11-11 13:07:28
35
salmahusna :
mungu naomba unipe mume yule wa kwako umenikusudia
2026-11-11 12:30:22
33
AMMA LUBRICANTS :
Mm leo nimeingia dukani nikaomba Mungu anipe Neema ya wateja nimemaliza kuomba tu mteja kafungua mlango aseeee mpka niliogopa nikauza box 2 yule mteja alivyo toka njee ikanibidi niseme Ahsante kwa mungu amenijibu kwa wakati 🙏❤️
2026-11-11 12:46:51
24
Elisali-Admin mkulima :
Leo ndiyo siku yangu ya kuzaliwa
11-11
2026-11-11 13:32:29
9
neema :
mungu Aya mate nayotema kia baada ya dakika naomba iwe mimba
2026-11-11 14:21:32
6
Eva Kawishe :
tena nimeipata saa kumi na moja
2026-11-11 14:02:38
5
lydia simon :
nimeshinda ndani hata kuoga sina muda🤣
2026-11-11 16:06:10
2
salha nyangasa :
Niko period
2026-11-11 16:45:59
0
REST COLLECTION 👗👠 :
Naomba mniludishe huku nije kusikiliza baadaye
2026-11-11 13:34:03
15
Dezi :
Mwenyezi Mungu nijalie nipate mtoto Mwezi huu
2026-11-11 13:48:51
10
Amayrah girl66 :
AMEEN,, Mungu nitangulie na me mwakani niwe namiliki kitu kikubwa 🙏🙏🙏🙏
2026-11-11 15:15:11
2
🦋 Snazzy Meminie🦋 :
Niko hapa na period cramps zangu mmmh 🥹
2026-11-11 14:25:50
0
nicole maiko :
mungu unajua haja ya moyo wang naomba unijibu
2026-11-11 14:14:30
5
becca365 :
mungu naomba nipate mwanaume wa ndoto zang ❤️🫂
2026-11-11 13:26:08
6
Naryn :
Unarukaga saangap na ungo dada Verah unipe lift😂😂
2026-11-11 12:41:23
7
lovelyme345 :
Allah atufungulie kila mja na atakacho
2026-11-11 13:33:51
6
aiem-kim🦋 :
Naomba mungu nipate mimba
2026-11-11 15:05:39
2
blasidafuss :
Mm namuomba Mungu anipe mtoto
2026-11-11 14:11:37
2
Jesca smatie🥰 :
ninaomba nifungue biashara yangu na iwe kubwa Mungu awashangaze wanao niombea mabaya
2026-11-11 15:43:55
2
official rosey🌹🌹 :
11 11 my birthday
2026-11-11 13:44:16
4
cheyoo🦋 :
leo nimeamka staki kwenda kazini , roho imegoma, imebidi tu nitulie nyumbani
2026-11-11 15:01:23
1
@Dina kitara :
Na ikawe kweli 🙏🏾 kwa jina la yesu
2026-11-11 13:57:06
3
To see more videos from user @blessedwithwealthfavor, please go to the Tikwm
homepage.