@jambotv_: VIDEO: "Kazi ya mwanamke ni kutunza akili mwanaume, kazi ya mwanaume ni kutunza hisia za mwanamke mwanamke anaweza kuvuruga akili yako kuliko unavyoweza kudhani kwa sababu wao wamtengenezwa kutunza akili zetu wanaume wengi tunatembea njiani tuna shida ya akili kwa sababu ya wanawake" Anaeleza Mwalimu Cosmas Madulu @cosmassmadulu kwenye mahojiano aliyofanya na Jambo TV leo Novemba 11, 2026. 🎤@mckamendu @offiacialskawajr @godwin_mawanja