@intelligencefx: Fursa za sayansi na teknologia za karne hii ya 21 zinawezesha kufanya biashara bila kuwepo eneo la biashara. Fursa ya WiFi ni fursa nzuri sana inayokuwezesha kuuza unlimited bundles kwa kipindi fulani cha muda katika jamii. Mimi ni mmojapo wa wafanyabiashara ya internet na Trust me inalipa! Si kila mtu anaweza lipia subscription ya unlimited internet bundle sh.50,000/= kwa mwezi,lakini kulipia 1000/=,2000/= siku nzima kwake inawezekana kwake. Kinachohitajika ni urahisi wa wa mtu huyu kupata huduma hii basi. Je utaifanya biashara hii? Kwa madini zaidi tembelea Youtube na seach Intelligencefx kuweza kuitazama full video. Usisahau ku-like comment na share na ndugu jamaa na marafiki zaidi.

IntelligenceFx
IntelligenceFx
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 11:32:54 GMT
2861
142
1
3

Music

Download

Comments

masanjagoryo
Masanja Goryo :
oky tupeane hizo fulsa unafanya fanyaje
2026-11-12 17:22:51
0
To see more videos from user @intelligencefx, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About