Nikiskiaga huu wimbo huwa napata amani na kunikumbusha kuwa mlinzi wetu ni mmoja tuu ambae ni Mungu wetu…watu wa Mungu tusichoke kumtuka bwana🙏
2026-11-11 12:27:54
303
adelehemalilo :
barikiwa sana one of my favourite song
2026-11-14 18:30:27
0
Mathias Walichupa :
YES SIR
2026-11-11 12:58:52
164
DEBORAH ❤️🫶👌 :
ubarikewe sana my brother ❤️🫶🫶🫶🫶🫶
2026-11-14 11:17:58
0
gisella :
♥️♥️♥️tuombe tuvuke salama
2026-11-11 13:41:02
112
itc__annah🦋💦 :
Muda wake wa kutrend umefik [Tears of joy]
2026-11-14 15:01:16
0
vivianfrncsi :
Moses wa martha🥰🥰🥰🥰😂😂
2026-11-14 11:27:59
0
❤️miss🔐lady🦋 :
From January to December nimejua umenilindaa [Tears of joy][Red heart]ni weee aisee tukavukee salam
2026-11-14 07:56:49
1
Angel.ben :
good job bro
2026-11-13 11:27:28
0
Nana🥰 :
mbona kama mtumishi wa mungu n vitu vyangu
2026-11-13 23:17:17
6
🥰❤ Amida@dear 🥰❤ :
kaka siku nikikutana na wewe naomba uniimbie huu wimbo🥰
2026-11-11 13:36:57
19
shama💝 :
Apo anasemaje kwenye tangu mawio alafu nini
2026-11-12 11:38:19
12
cute mimmah :
yaan sauti tu mie baaaaas
2026-11-11 13:17:22
20
SAKAWA :
Sema apa ulikaa ukaandika na ukaimba kitu ambacho hataiweje lazima tutumie tu😅 hasa nyakati kama hizi tuna maliza mwaka aweeeee🔥🔥🔥🔥 MUNGU atupe afya tumalize mwaka salama 2026🤲
2026-11-13 10:08:20
12
gwim's daughter :
wimbo wangu pendwa wa muda wote❤️
2026-11-11 13:51:03
5
Mrs shaos :
bado mwezi mmoja tuimbe inyimbo mungu linda familia zetu🤲
2026-11-12 07:17:22
6
Petronela Malema :
big up bro.
2026-11-11 21:11:32
1
Rho love :
Mungu azid kukutumia kaka angu, unanibariki sana.
2026-11-11 14:35:53
5
user zilper :
saf
2026-11-12 04:52:00
1
salmah🍒 :
my fav
2026-11-11 21:45:46
1
sarah :
waoooo
2026-11-11 23:51:24
1
user80807401828335 :
AMEN
2026-11-12 04:02:55
1
Juliana josephat charles :
amen
2026-11-11 22:10:09
1
marry :
my song
2026-11-11 22:45:04
1
Hawetanaz :
2026-11-12 08:57:27
1
To see more videos from user @godfreysteven7, please go to the Tikwm
homepage.