@bategas.farm: #CapCut 🐔 JE, UNAJUA KWAMBA RANGI YA VINYESI VYA KUKU WAKO INAWEZA KUKUAMBIA MENGI KUHUSU AFYA YAO? Mabadiliko ya rangi, muonekano na hali ya kinyesi cha kuku yanaweza kuwa ishara ya mabadiliko katika afya zao. Baadhi ya magonjwa ya kuku huambatana na mabadiliko ya kinyesi, hivyo ni muhimu kwa mfugaji kuwa makini na kufanya uchunguzi wa mara kwa mara. 🔍 USIPUUZE KINYESI CHA KUKU WAKO! Kabla ya kusafisha banda, chukua muda kuchunguza: - Rangi ya kinyesi. - Muonekano na uzito wake. - Kama kina damu au ute. - Kama kuna mabadiliko yasiyo ya kawaida. ⚠️ Kumbuka: Rangi ya kinyesi pekee haitoshi kuthibitisha ugonjwa. Ni muhimu kuzingatia dalili nyingine na kupata ushauri wa mtaalamu wa afya ya mifugo. BATEGА'S FARM – ELIMU, HUDUMA NA UFANISI KATIKA UFUGAJI! 🐓 Tunajihusisha na uuzaji na usambazaji wa vyakula vya mifugo, dawa za mifugo pamoja na vifaa mbalimbali vya mifugo. 📍 Tunapatikana: Tabora Mjini, Barabara ya Madaraka. 📞 Wasiliana nasi: +255 661 599 007 +255 768 539 854 Batega's Farm – Ufugaji bora huanza na uelewa [email protected](specialist) #BategasFarm #UfugajiWaKuku