@ngbfadventist: Katika maombi kuna nguvu, na nguvu ya maombi ndiyo inayochochea na kuimarisha utume. Kazi ya Mungu haiwezi kufanyika kwa nguvu za kibinadamu pekee; tunahitaji nguvu itokayo kwa Mungu. Tuombe zaidi, tutende zaidi na tumtangaze Kristo kwa ujasiri zaidi!