@kusagatv:

MWANDISHI WA WANANCHI
MWANDISHI WA WANANCHI
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 13:26:33 GMT
24891
282
27
12

Music

Download

Comments

meshacknzibavuga3
Meshack Nzibavuga :
kwahy mapoli ya nathamn kuliko wanadam kweny taifa lao
2026-11-12 05:54:09
0
amosirich2
amosirich :
hamna kiongoz hapo
2026-11-11 20:38:52
0
hymer885
Hymer :
Anaongea mambo ambayo hata hayaeleweki Yaani hakuna viongozi kwenye hii nchi Yaani anatetea TFS kuliko utu wa watu
2026-11-11 14:11:46
0
ontarget.safari
Ontarget Safari :
Hapo amna kiongozi kabsa atakwenye maelezo ajui wajibu wake
2026-11-12 04:28:12
0
maasai.nanyorii
Maasai wa ngorongoro :
hapo ni????????
2026-11-12 03:34:29
0
user4442716174283
Yakub 🙏🇹🇿🙏 :
😇😇😇😇😇😇😇
2026-11-11 14:27:31
0
jovialjuni
blood shot :
mbn kama anawatetea tfs
2026-11-11 17:54:03
0
shuu.shuu69
Shuu Shuu :
Hadi watu wanachomwa
2026-11-11 17:52:43
0
kessey89
Losi Tz :
mungu awasaidie watatue vyema😥🙏🙏
2026-11-11 19:28:33
0
mengoru
[email protected] :
nchii machozi tuu
2026-11-11 20:05:31
0
barak.joseph6
BRK [email protected] :
mmmmh ila tanzania viongozi wapo
2026-11-11 16:09:57
0
annuabdala
Annu Abdala :
majibu sasa ya mkuu wa mkoa
2026-11-11 16:13:44
0
samwellucas43
SAMWEL LUCAS :
MBONA MM SIELEWI AU UBONGO WANGU UNAITAJI MBOLEA
2026-11-11 21:01:38
0
sandali1135
sandali 🇹🇿🇹🇿💋 :
😭😭😭😭😭 Kuna watu wanateseka jaman adi zambi
2026-11-11 14:25:38
0
kyaro139
Naah kyaro :
TFS wan roho mbaya sijawahi ona.. sijawahi 🙌🙌🙌
2026-11-11 15:51:15
0
josephlemomo408
Joseph lemomo :
pikipiki ni bora kuliko watoto waliyoungua Dah ee mwenyezi Mungu turehemu
2026-11-11 19:05:09
0
renity_b
@🦋Renity_23🌻 :
ila mkuu wa mkoa🙌🙌🙌
2026-11-11 14:37:49
0
moffi205
moffi20 :
Niwambie kitu
2026-11-11 15:35:10
0
sandali1135
sandali 🇹🇿🇹🇿💋 :
😭😭😭 Mh maskini 🇹🇿🇹🇿 sasa tutafanyaje wenye nch ndy ao sasa adi machozi yamenitoka zambi si muwape sehem nyengine jaman 😭😭😭🇹🇿
2026-11-11 14:22:23
0
mtawajr1
mtawajr1 :
hataaa taaarifa ya habari zote nimeangalia hawajatoa hii taarifa na kuunguza mtotoo
2026-11-12 06:34:06
0
mussaelias735
Mussa Elias :
Hawa tfs mara nyingi wamekua wakitumia nguvu nyingi ndiyo maana raia wanawaona kama adui zao wanasahau. pia nao. nisehemu. ya jamii. hii wanaowachomea. majumba. na. kuwaacha watoro. wazee na. kina mama. wanatabika na wanasababisha wananchi kuichukia serikali
2026-11-11 15:32:12
0
kyaro139
Naah kyaro :
hakuna watu wenye roho mbaya dunini kama TFS..niulizeni meme....Wana roho mbaya hawa watu
2026-11-11 15:50:22
0
leihosam
white lion 🦁 :
Mkoa hauna Kiongozi ,huyu mama hata ongea yake mmh
2026-11-12 05:20:14
0
godsonedward506
gm mr nafaka :
😱😱😱😱😱
2026-11-11 18:18:15
0
To see more videos from user @kusagatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About