@jvckieseven: mwaka 2009 wasanii Kutoka label ya Tip Top connection SPACK NA TUNDA MAN waliachia hili jiwe lao safi sana lililofanya vizuri sana sokoni wakiwa wamemshirikisha MADEE, jiwe linaitwa NIPE RIPOTI lilitayarishwa na producer MARCO CHALI 🔥
JvckieSeven
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 13:33:11 GMT
Music
Download
Comments
Eugene montana :
pumzika kwa amani kaka spark 🥺🥺🥺
2026-11-11 14:24:32
20
Y_𝑚𝑛𝑦𝑎𝑡𝑢 :
wímbo uñaitwje jaman
2026-11-11 16:27:54
4
THE GUNNERS :
I.R .P SPACK
2026-11-11 22:49:03
1
mwaija :
ndio nazaliwa mwaka 2009😳
2026-11-11 20:53:23
5
colloh olise :
r.i.p spck
2026-11-11 20:11:14
3
Daisy :
huyo mdada hapo ni Riyama Ally ?????
2026-11-11 18:44:41
4
tembahappy :
rest in peace spack🥰
2026-11-12 04:40:55
0
Rukia Rashid :
jaman kaka spack
2026-11-11 13:42:39
5
Rehat Atosha :
apo sijui kutamka ata simu
2026-11-11 19:53:06
1
Minah :
Me nipo lapili 2 😂
2026-11-11 17:47:18
1
user952581178159 :
pore sana
2026-11-11 14:28:58
4
mpemba mmoja :
nipo darasa la 5 hapo
2026-11-11 19:04:44
1
ali :
R.I.P. SPACK
2026-11-12 08:00:56
0
mwakalinga :
wakat nipo la tatu
2026-11-11 18:22:46
1
tilwa007 :
RIP spark
2026-11-12 05:15:33
0
Rozaliana :
daah nilikuwa na mika 2
2026-11-12 03:48:40
0
aisha 8 :
Daaaaa mm dalasa 3
2026-11-11 19:38:54
1
🎀 𝑀𝒮_𝑒𝓈𝓈𝓉𝒽𝓎 🎀 ♑️ :
🥺
2026-11-11 18:43:20
1
rehema :
2026-11-11 22:10:23
1
Eric cantona :
pumzika kwa amina kaka 😭
2026-11-11 18:21:45
1
Harness :
yani.uuwinbo.uwanaupenda.sana.aponipo.na.miika.2.jaman
2026-11-12 07:43:36
1
Wanj kiddy :
zamani sana daaa
2026-11-11 19:03:22
1
@Goldenboy :
hii nyimbo ukiwa na hisia kali na ww unaweza ukalia dah usiombe umeachwa alafu usikie hii nyimbo utalia
2026-11-11 20:14:13
1
Rich Rich :
bonge Moja la 🪘
2026-11-11 17:12:38
3
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.