Labda sijazaliwa iringa simwambii week ya pili hii hatuongeleshani 😂
2026-11-11 20:22:11
10
💫Ronnie veeh💫 :
Jmn kwan hali hii ya maumiv naptia me au naumia sana
2026-11-12 12:34:35
4
Elma :
hata mfanye nini kila penzi litaonya umauti
2026-11-26 04:40:39
1
WATATUBU-LäPULGA :
The girl I truly loved left me today without showing any mercy." 💔
2026-11-12 09:01:52
1
Lucy :
ataona najipendekeza bado nampenda
2026-11-11 17:30:07
4
Celine🤍 :
Siwez jielezea aende tuuu😂😂😂🙌
2026-11-26 21:55:27
1
CHOLLO MOYO R I P BIBI :
mapenzi ya miaka ya ef 1990 uko so wa saiv awa noumer
2026-11-11 16:35:10
6
TmT💸💸 :
Bro to bro.. akitaka kujitoa mruhusu aende tu usijieleze sana kwake..
2026-11-12 06:01:31
4
Salma🥴 :
Mimi huyuuu? Ndie nimwambie🤣🤣🤣
2026-11-27 05:35:28
1
𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗕𝗨𝗦 𝗚𝗔𝗠 :
Duuh me ndio kashaondoka Sasa sina hata wa kunityumia meseji ya usiku mwema inauma kinoma kumpenda mtyu alafu yeye aww na maringo kisa uzuri wake nyie siwafichi
2026-11-12 17:01:39
1
DJ OMEGA# :
Natoka kwenye harakati, naandaa msosi naoga, nakula nawasha mziki mpka nasahau siku imepita iyo nalinda brand
2026-11-25 18:19:06
1
Dhulkifly Said Ali :
Na Kama tyr ameshaondok broo utafany nn🥺🥺🥺
2026-11-12 09:17:04
2
El_Moh'd :
nimemtumia akasema ameshauona 😂😂😂
2026-11-14 05:36:50
1
tigrees_queen0 :
simwambii🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-11 18:05:39
1
Jackson Yuga⭐ :
ujumbe mzuri kubabake ila nn nikatae 😂😂😂😂
2026-11-12 20:50:28
1
AbuuMS∆M¥🌴🌴 :
ex wangu dadek zake imfikie hii ...kaliniacha nikiwa nakapenda ile kinoma🙌🙌
2026-11-14 07:15:22
1
꧁༒༺🪫•• :
😂😂
2026-11-12 17:35:44
1
tc_trevor🤍✨️ :
Fact
2026-11-11 13:52:41
1
Issamudi :
siwezi kufanya huu upuuzi✌️
2026-11-12 06:57:51
1
Jofrey daniel. :
mda mchache san na kila siku hali zinazid kua ngum sin huo mda akiend ameenda
2026-11-12 11:49:36
1
kadra sai :
hayo maneno ni sawa na kulalamika kwa mtu anataka kumuacha Wala hayasaidii chochote zaidia ya kujishisha dhamani zaid
2026-11-12 20:33:40
1
✨ JOVANNY ✨ :
fact ✍️blood
2026-11-11 21:51:08
1
spain boy :
uo mda wa kumwambia ivo ninao basii kiongozi wangu 😂😂😂
2026-11-27 06:45:45
0
mainohuncho :
hayo maneno hayatasaidia kitu nkipanga jamb langu🥺
2026-11-12 15:40:12
0
To see more videos from user @baraka.mhenwa, please go to the Tikwm
homepage.