@gidetv_media: Ni katika mkutano wa hadhara wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo, Novemba 11, 2026 wakati anazungumza na wananchi Msalala, mkoani Shinyanga. #gidetv #viralvideo #trendingpost #newstoday
🄶🄸🄳🄴 🅃🅅
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 13:47:25 GMT
Music
Download
Comments
Nyanda One :
Tujuane tuliongeza volume haps
2026-11-11 16:01:31
564
abuu :
kwenye maisha kuna mda unatakiwa ukurupuke😁😁
2026-11-11 17:20:04
558
@officially Fifi :
hii nchi bila kujichetua unalala nja
2026-11-11 16:27:12
604
Marymark :
nimegundua Mwigulu ana level kubwa sana ya uvumilivu na anaweza kuishi hata na vichaa😂😂😂🤣
2026-11-11 18:03:06
501
Mumy lora45 :
Nitafute t Dj namm niingie studio🙌🏽
2026-11-16 09:57:29
0
Dear Niilan Dear :
Ila watu niwanafiki nakuchez wanacheza🤣😂😂
2026-11-11 18:58:47
161
Domina Silingi :
natamani na mmi nipate nafasi yakukutana nawaziri nimuadisie mapenzi yalivyonitesa😂😂😂😂
2026-11-11 15:51:04
141
Joe :
Album inaitwa "Nong'oneza" by Ngosha
2026-11-12 07:15:37
84
Mhandis Suleyman :
aliyesikiliza huu wimbo had mwisho unahusu nn?
2026-11-11 16:48:38
95
Kanku Dietician ambassador. :
Kumbe mie najua kuimba sana!
Asante msanii Kwa kutuaibisha wasukuma!😆😆
2026-11-11 16:24:45
123
lastborn12♥️ :
🤣🤣🤣🤣 mhe anajuta kutoa zawadi kabla hajasikiliza wimbo 🤣🤣🤣
2026-11-11 18:42:16
100
Ray💞💖 :
Mbn nahs kuchekaa mniruhusu bc [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Red heart]Tanzania
2026-11-11 15:43:05
23
𝘨𝘪𝘳𝘭𝘢𝘤𝘩𝘪𝘦𝘷𝘦𝘳 :
Oyaa muhimu confidence mengine badae😂
2026-11-11 17:25:01
72
Nemy..🌸🥀 :
anachekesha kama sio mpenzi wako
2026-11-11 17:10:20
131
winni :
nimeonaa aibu adi nimeingia uvunguni bado sijatokaa adii sasaa
2026-11-12 05:01:53
39
Rosely outfit :
ni mimi siskiii vzr au sauti ya cm yangu
2026-11-11 19:01:29
57
🧸moonlight♉️🔮 :
nitumie hy nyimbo niifutee
2026-11-11 17:34:45
23
Naahactress :
hivi kwanini TikTok haina sehemu ya voice jmn 😅😅😅😅😅
2026-11-12 05:34:48
31
pendo ramadhani :
mnakutana na meng viongoziiii😂😂😂😂
2026-11-11 16:01:24
48
mr_bee🐝🐝 :
uwezi kumuimbia kama bata wazili mkuu alafu umalize mwaka salama mkuu😂😂
2026-11-11 19:03:54
33
odoN♥️ :
sasa mbona nacheka pekeangu 🤣🤣🤣🤣
2026-11-12 04:50:44
9
nyangetakubgw :
Mbona ata sisikiii vyenye anaimba[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-11 16:46:58
15
Zaituni :
Huyu ni mdogo wangu namjua hajawahi shindwa kabisa
2026-11-12 08:11:03
24
gracedaniel5866 :
nasikia tu twampendaaaaaaa 😀😀😀😀
2026-11-12 07:54:06
7
Maryam Amos :
nimekaa hapa nasubir aimbe eti 😂😂😂
2026-11-11 17:20:10
44
To see more videos from user @gidetv_media, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.