Yote kwa yote mimi Bado simuungi mkono huyu operator Kwann uharibu mali kisa wewe unadai zipo njia stahiki za kudai pesa kuliko kufanya uharibifu kama huo Tuseme pesa anayodai ni ml 14 je akiambiwa uharibifu ni ml 300 au 400 anayo pesa ya kulipa?🤷🏻🤷🏻
2026-11-11 15:04:19
4
Shija Kusekwa :
Wanaongea lugha gan hiyo wataam mtuambie maan yake
2026-11-11 14:39:25
8
khalfan1203 :
ila bongo
2026-11-11 15:01:58
4
Aines Makiwa :
why you no give yono that
2026-11-11 15:45:20
0
Issenye kubwa :
huyo ni wa uganda na yule ni mtanzania
2026-11-11 15:12:34
2
Asifu :
haaaa nashindwa kuelewa
2026-11-11 14:47:59
7
kvanny4 :
Why give me name😂😂
2026-11-11 15:51:01
0
Idrisa Sanai :
mda anadai sarali yake serikali haijamuona kuchukua shelia mkononi murilo anamtafta ila hii dunia
2026-11-11 15:00:58
6
medson jr :
i know what problem
2026-11-11 15:18:18
2
samwelmatemba931 :
hizi ni mbili tofauti acha izoo
2026-11-11 15:12:28
2
Chinanaa❤ :
kigamboni iyo mvumoni nilikuepo 😁😁😁😁
2026-11-11 15:38:56
0
immakhan1221 :
kumbe kunakitu ukifanya unaeleweka vzr ukiongea amna mtu anakuelew
2026-11-11 15:12:56
2
🚚 Herry Trucker🇹🇿🇿🇲🇨🇩✌️ :
acha kuunganisha video wew 😂😂
2026-11-11 15:03:59
1
sanukakitaa @peter manyika :
jamaa kasema OK
2026-11-11 15:24:19
1
Alvin Jullias :
turifanya kazi
2026-11-11 14:55:32
1
Hames🇹🇿 :
hapo nimeeelewa OK 👍 tuu 😁😁😂
2026-11-11 14:53:01
1
Namat🥰🌹🌹🩷 :
No give u 😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-11 15:27:52
1
angel minja :
kumbe ni tanzania
2026-11-11 15:04:41
4
SurestDirector | videographer :
Yani nimekupa jina, alafu mi hunipi hela man.
2026-11-11 15:45:36
0
mary :
Hii ni tz bana ichonikingeleza Chetu bana
2026-11-11 15:39:33
0
petrojulias7 :
duuuh jaman
2026-11-11 15:51:36
0
@kidkevoo :
wanaongea kuhusu vsdfdfhjh hatari saba
2026-11-11 15:43:47
0
David Mwambije :
iyo lugha sijui ya nchi gani
2026-11-11 15:41:01
0
sherrf kimboka :
😂😂😂 bong🫡🫡🫡🫡
2026-11-11 14:32:08
0
To see more videos from user @franco5666777, please go to the Tikwm
homepage.