Nina ushuhuda jaman omba mungu siku yako itafika me zaman nilikuwa nikisikia mtu kapewa lak tano na mwanaume naona ni maajabu mungu anilindie huyu kaka akikosea anasema nisamehe mama me binadam oooh god 🙏🏼
2026-11-11 20:07:18
15
Anitha🎀 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]Aiseeh mbona Kama watu watatu tofauti
2026-11-12 08:44:44
0
nusrasaid :
may that person locate to me
2026-11-12 15:25:13
0
@Nuruh.de.light✨️🦋 :
liniii sasa nimechoka kusubiri😫😫
2026-11-12 13:57:24
0
shoni :
imagination😳😳
2026-11-12 12:41:54
0
roshinipatery :
Uyo mtu nimimi 🤣.. lkn kupat km me sa nimtian sijui kisa wanakuw wanahela hawajali 😏😏😏
2026-11-12 04:45:24
0
kiwewe mragase 1234 :
iyo ndo tabia yangu sema sijapata mwenye kama yangu
2026-11-11 18:13:05
0
Alphard💜 :
uyu yote anayo ila sasa uchoyoo mptyuuu mbaka sijui nilimkosea wapi Mungu Mimi kunipa wanaume kama hawa🥹
2026-11-12 13:08:17
2
regina :
MUNGU sikia maombi yangu 🙏
2026-11-11 21:23:15
4
lehemangailo :
liniii iyooo
2026-11-11 15:23:57
0
hanxee lass🐝🍯 :
uwii jaman uko wapi nmechoka mm
2026-11-12 16:45:58
0
“KARAMA⛎😎 :
hata ukikutana nae ila uwezi mpenda Kam yule WA mwanzoooo✅
2026-11-12 07:48:37
1
dorisbrilly♥️♥️ :
embu aje bhna nishachoka kumsubiri
2026-11-12 16:22:32
0
Nunala Poultry Farm :
nipate huyu mmoja
2026-11-11 19:41:35
2
fah ❤️🔥😘 :
nashukuru mungu atimae nimempata [Pray]
2026-11-12 10:30:06
1
Stella Christopher :
hio sku nikipata MTU wanamna hio nitalia snaaa
2026-11-12 05:29:52
1
Lizzy-back up :
Mungu anisadie na anijalie Ameen
2026-11-11 18:12:38
1
Zey🦋 :
mungu nijibu hii tu vingine umeshanipa 🙏
2026-11-12 13:48:40
0
Mayachris12 :
Unaweza ukakutana nae anavyo vyote hivyo ishu inakuja mwanadamu anakawaida ya kudharau mtu mwenye sifa kama hizo take my words and this is human nature.
2026-11-11 19:54:49
10
asna lunda :
yaaani mioyo ishachoka watu sahihi ndo wanakuja et
2026-11-12 08:36:27
0
dragongirl369 :
Labda nirudishe 2025
2026-11-12 11:41:26
0
Jacqueline :
ameen
2026-11-12 13:25:37
0
reneeeeeeeee🥰 :
Kwangu hiyo n ndoto em niendelee kulala😂😂😂💔💔💔
2026-11-12 17:27:44
1
Miriam :
amen
2026-11-12 12:06:37
0
Humble❤️ :
Mungu niondolee hawa unanikutanish nao. Sasa nikutamishe na huyu na iwe kweli, nitampa dunia nitampa kila anachotaka. Nitampenda ambavyo sijawai penda.
2026-11-12 12:15:44
1
To see more videos from user @tanzaniaisbeautiful, please go to the Tikwm
homepage.