@mulastar1: Operator anadai madeni yake

mulastar255
mulastar255
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 14:26:24 GMT
93839
3789
218
140

Music

Download

Comments

user9879468158614
Mbavu jr :
yupo sahihi mabos Wana zarau sana na aki fungwa uyo tuna and Amana nchi nzima
2026-11-11 18:59:09
51
ipm19985
ipm :
uyo alieanguka nae umbea umemponza
2026-11-11 19:00:06
18
dume_lachura
kunenepa kuna MUNGU :
shujaa huwa anaishi kwa ajili ya watu wengine...Mchina atajifunza kupitia hii na waliobaki hawatadhulumiwa...
2026-11-11 18:40:40
20
bahati2414
Bahati :
kwenye hizi kazi tunasumburiwa sana Yuko sawa
2026-11-11 18:39:11
8
e.mbistro1
e.m bistro 👨‍🍳 :
Mwamba
2026-11-11 21:27:00
0
frediredisoni
fredi nsunza :
principle's of criminal liabilities 🤣
2026-11-11 21:28:01
0
machinya_jr
machinya_jr :
tuliza camera bc vp mzee😁
2026-11-11 21:23:19
0
user3366119488613
jafari :
sawa mshahara wa milioni 1 unahalibu bilioni tujifunzen kitu asha kamatwa swali je ana uwezo wa kulipa? hasira hasara jaman
2026-11-11 18:35:49
6
yyprint
yyprint :
mi najiuliza tuu angeenda kudai kisheria angelipwa!?
2026-11-11 19:50:47
2
user6176602376795
Tannin Fashion wear :
1. 2. 1. 2 360°
2026-11-11 21:26:53
0
boboosper
boboosper👁️‍🗨️ :
Movie ipo Netflix tayari 🙌🏽💔😹
2026-11-11 21:04:52
0
kauluj254gmail.com2
Juma :
nyie ongeeni tu lkn uchungu wa kupoteza umpendae sio rahisi
2026-11-11 20:52:10
3
frevia2
vian🦋 :
Wanawez rudisha uhai wa mtoto
2026-11-11 20:51:08
3
rzack31
R@zack outfit👔🦺🥼 :
Nimejifunza ukitaka kufanya unyamaaa usifanye nusu nusu fanyaaa unyamaaakamiliiii kabxaaaa
2026-11-11 18:18:17
13
magesa.maganira
Magesa Maganira :
mwamba yupo sahihi, na vijana kama hawa wana mchango mkubwa kwenye taifa letu
2026-11-11 20:51:51
3
simon44474
simon :
hasira hasala
2026-11-11 20:09:21
0
emmanuel.masaka1
Emmanuel masaka star :
😂😂😂😂 Kuna mtu ameanguka uku
2026-11-11 19:11:07
0
babahawa07
becka ndanga :
huyi lazima mhehe
2026-11-11 17:43:14
5
captein761
CAPTEIN :
hii ukfka bongo cjui itakuaje tuheshimun Mal zawatu maana kudhulumiwa c Kila mtu anaweza tulia tu
2026-11-11 21:01:10
0
d.sammy66
RAIS WA MAISHA YANGU :
op kavuta ya wapi
2026-11-11 19:25:29
0
chales.daniel4
Chales Daniel :
yupo sahihi nchi ya kwake halafu anateswa
2026-11-11 20:49:12
2
hard6510
Hard :
apo kuna mamb ayo✌️
2026-11-11 20:25:56
2
lizo.tz5
lizo tz :
Wapi hii
2026-11-11 18:30:44
3
rj_wedding_
Rj design :
hasira sio nzuri fikili kabla ya kutenda
2026-11-11 21:02:38
1
xt_zeroo
✨️  95ミ之モ尺 ͒💫 :
https://vm.tiktok.com/ZSpmGLjKg/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: https://www.tiktok.com/tiktoklite kuna mwingine huku
2026-11-11 20:18:30
1
To see more videos from user @mulastar1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About