Me nahis tulozaliwa na wazazi wa kaskazini hii haituhusu😂😂😂
2026-11-12 06:23:18
135
❣️Saidah❣️ :
Kwa mamangu usijaribu kupiga simu kama hujanioa
2026-11-12 04:39:24
53
🍫🍫 :
Mama wa nani?? 😅😅 kwanza mwenzio anaona me bado mtoto
2026-11-11 19:39:20
12
Petty🦋 :
Hii naamini kabisa sio kwaajili ya wazazi wang 😭🤣🤣nyie wale watu pori wataniua
2026-11-13 06:22:20
9
Prince_Ruge🫅 :
Nilijaribu kwa mama wa kichaga majibu alo nipa nipeni kwanz kiti nikae daah
2026-11-12 16:02:45
13
Shakirah ✨🎀 :
[Tears of joy]
2026-11-13 13:28:59
0
warda chuchu😋 :
Nishamuacha mtu kwasababu alijiamulia mambo kanisosa kweny simu siku ya maandamano sijui alijua nimepigwa na bom akaja nyumbani kuniulizia kam nipo😂🤌
2026-11-12 09:30:54
10
neema :
mmmh mume wangu mtume kipind hajanioa haogop na. ndug walikuahawampend lakin anapig ty
2026-11-13 16:16:47
1
HENNAHSTOREMOROGORO :
wangu ana mpgiaga baba anamwmbiaaa yeye mteja wa cake sas kwny smu yang hanipat
2026-11-12 04:22:37
7
🎀Bedui Daughter🧕🌸 :
Heeee nish acha mtu kish ujuaji huu huu😒😒
2026-11-12 08:47:22
7
Introvert :
nill, ready ✌️🤣🤣
2026-11-12 14:28:16
0
nameless :
mbona uchonganishi huu sasa😂😂😂😂😂
2026-11-12 07:43:22
0
BALON :
Sitakaa nifanye tena huo upuuzi
2026-11-13 02:40:59
0
abela :
nishaacha mtu kwa kujiamulia mambo amempigia mdingi ety naomba taratibu nije kuoa mtoto wako
2026-11-12 11:06:10
0
💘 :
😂staki kabisa😂
2026-11-12 18:36:42
0
Sweetheart🇱🇾 :
Ndoi wangu uyoo
2026-11-12 11:32:37
0
light :
mama angu ashapigiwa na mademu wawili tofaut kisa bro
2026-11-12 16:50:11
0
💘prinny🌸helly🧸 :
haya sawa 😂😂
2026-11-12 11:59:35
0
Dodie_kamdoli🤡 :
yan so kupiga cm jmn me uy kichog wng anakuja kbs tn bila taarifa
2026-11-12 09:41:57
0
nury💞🔐🥳 :
mim kuna mwanaum alikuw ananipnd uy me simtk walah namb ya mama ang sjw kapat wap walah kaend kumwambia nampnd mtot wako ila uwez wng ni mdg san natk kumuow bint yko yaaan ile sk sitosahau jmn
2026-11-12 08:57:34
1
EMMY💕 :
Kwa kweli hata ndoan stak mtu wa kumpgia mama anguu tukiwa na ugomv sisi wa kaskazin haituhusu hiii wal mm stapigia wake wala rafk zake
2026-11-12 18:53:07
1
👑I am ❣️Amand❣️ :
kanda ya ziwa hii si yetu🤣🤣 situnawajuwa wazaz wetu😅😅😅
2026-11-12 12:16:26
1
JaeLia🦋 :
Hyu ni Ex ang aliwah pigia sissy yang 😂😂😂🙌🏼Navyenye mnajua first born wana react kama wazazi uwiiii
2026-11-12 18:20:55
0
Doreen store :
Usinikumbushe 😁
2026-11-12 11:20:46
0
To see more videos from user @betrust65, please go to the Tikwm
homepage.