@iycsigntv: Ujumbe kwa watanzania wanaomsema vibaya mwana muziki #zuchu kisa kumuhudumia #davido nyumbani kwake. Muusika: zuchu 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more

iycsigntv
iycsigntv
Open In TikTok:
Region: US
Wednesday 11 November 2026 14:39:12 GMT
27883
1445
115
22

Music

Download

Comments

mwayakaaliduchi
user79171256217245 :
wazanzibar oeeee
2026-11-11 15:11:34
28
stephoramass0
Mass🥰🕊 :
sio kwelii kuna watu wamechika na niwatangaa 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-11 15:11:27
25
zizzi.well
zizzi well :
waaaambie zuchu kaitendea haki ndoa
2026-11-11 15:04:18
32
ney8040
ney :
Mimi sio mzanzibar lakn that’s how I behave,ukiwaachia wafanya kazi kun mda watakuzalilisha
2026-11-11 15:23:31
8
user26799600594085
user26799600594085 :
dada umenikosha wape wape bd hawajasikia hao
2026-11-11 15:22:02
8
munawarh22
user39614800878672 :
uyo ndo dada sharifa katutetea marahii
2026-11-11 15:35:08
4
peterdezanzibar
Peter De zanzibar :
zanzibar fact
2026-11-11 15:22:40
9
layfat1
layfat :
😂😂😂😂😂Wambie aooo
2026-11-11 15:59:19
0
sholla614
sholla Actress tanzanzia :
kabisa dada waambieee
2026-11-11 14:49:59
7
barke782
Barke :
nikweli ndugu yangu sharifa
2026-11-11 15:14:19
3
user6020416355616
Aiyaah 😊 ❤ :
Asante dada fact 🥰
2026-11-11 16:04:55
0
mahabaclass11
45 :
Vina mda bc
2026-11-11 15:49:11
0
zari54587
zari :
Kabisaaaaa Kabisaaaaa Kabisaaaaa
2026-11-11 15:54:54
1
fety3664
fety💗 :
kila mt na rizik yake yy ameandikiwa na na mungu kuolewa na diamond
2026-11-11 15:34:21
4
momnajim7
Simba zubeda :
Dadaaa😅😂😂
2026-11-11 15:47:33
2
t..shop.pointer
T.shop pointer :
ukweli mtupu
2026-11-11 15:43:06
2
deecakeeee
DEE CAKE AND DERIOUS🍰🧁🎂 :
mashallah da sherry
2026-11-11 15:28:04
4
quen.simba
🫀Mr's 💝🥰 :
tim zuchu mpo😂😂😂
2026-11-11 15:15:43
3
user4431998526109
user4431998526109 :
Fact madam!
2026-11-11 15:28:30
1
mama.boy238
mama BoY :
umeongea point dasher nakupenda sana
2026-11-11 15:36:28
2
user66181228550306
Amina shabani :
kweli kabisa dada
2026-11-11 15:23:59
1
saidat.mwinyi
SD :
kweli
2026-11-11 15:16:18
1
fatimaalhabsii
Fatima Alhabsii :
Ahsante da sheery
2026-11-11 15:29:17
0
user4431998526109
user4431998526109 :
sawa sawa, umeongea unwell mtupu, Zuchu kafundwa na kafundika, Nampenda sana zuchu mtoto wa mwanamke mwenzangu.
2026-11-11 15:27:43
3
maysah897
Maysah 💙🦋 :
Hakikaaaa 😅😅
2026-11-11 15:11:30
1
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About