@popularmedia_tz: DIAMOND PLATNUMZ NA DAVIDO WAMEINGIA STUDIO KWA PAMOJA KUPIKA KITU KIPYA! 👀🔥 WAWILI HAWA WAKIKUTANA KWENYE MIC NI LAZIMA DUNIA ISIMAME. JE, TUNASUBIRI KIBAO GANI KUTOKA KWA HAWA MABWANA? 🌍🎶 AFRIKA KWENYE RAMANI! 🚀#diamondplatnumz #davido #tanzaniantiktok🇹🇿 #nigeriantiktok🇳🇬 #kenyantiktok🇰🇪
Popular Media_Tz
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 14:40:56 GMT
Music
Download
Comments
☙𝕊𝕒𝕚𝕓☙👑 :
🇹🇿🇳🇬... TANZANIA TO LAGOS✈️
2026-11-11 16:37:12
12
MTOTO WA BABA♉️🫂 :
Davido vibes🤭
2026-11-11 19:02:15
2
UR christano♥️♥️ :
acha wimbo sasa uitwe Number Two
2026-11-11 15:10:04
13
officialkab0gE :
kama ally kiba kweli ni mkubwa bc apandishe nyimb0 yake ap0 ikienda naanza kumshabikia
2026-11-11 15:27:13
30
sly💖💫 :
This gonna be hot🔥🔥
2026-11-11 16:45:27
5
Saiko Milinga :
manyimbo ya zaman ya nn asa
2026-11-11 18:12:05
4
SNIPER 🇾🇪🇹🇿🇾🇪 :
kwa ugongaji wa meza huo inqvo.onesha wimbo mkali san
2026-11-11 15:49:02
7
Maliki Ally :
nasubir kwa ham
2026-11-11 16:21:51
3
Maisha Riane :
Île siku tuta lewa 😁
2026-11-11 18:17:48
2
MEJA captain :
mondi tanzania one kimzik💯💯
2026-11-11 17:28:04
3
Josiane TMK :
Love this 2 kind of mans👌👌👌🥰🥰🥰
2026-11-11 17:51:34
0
user9619144081934 :
simba x davido
2026-11-11 14:58:54
3
Hayman luckman :
wambeeaaakimy
2026-11-11 17:20:34
0
mbape7 :
unyama mkubwa
2026-11-11 15:30:49
1
♤It's Timmy♤ :
waiting that banger
2026-11-11 17:37:32
0
😉 :
Cooking🔥🔥
2026-11-11 16:47:53
0
𝐓𝐡𝐞𝐋𝐢𝐥. 𝐗 :
Producer: PABLO🙌
2026-11-11 18:11:43
0
Nechabway :
jaman si angepga s2kzy iyo ngoma
2026-11-11 16:04:48
2
modhkhan :
tunawasubili wakina mwijaku watasema nin
2026-11-11 15:10:37
4
Mawazo Afangoo :
napenda sana iyo kitu aliyo fanya mondi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️🥰
2026-11-11 18:03:00
0
Zombie 💰 :
nakubali mkuu
2026-11-11 19:18:08
0
Pilesy🫰Paul❣️🦋🤍 :
nyimboooo kali kinomaaa🥰
2026-11-11 18:57:24
0
Dorcas OleMbatia back up🇰🇪 :
Hii colabo itakuwa moto sana
2026-11-11 18:33:30
0
lexi :
Wanapika nini
2026-11-11 18:13:36
0
To see more videos from user @popularmedia_tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.