alafu kaimba sauti nzr imeanza kurudi ile yake kabsa
2026-11-12 06:17:36
3
Amishuuu🪄🪄 :
Anajua saaaaan mstar na mkubal veeeeeep
2026-11-12 11:28:59
1
SOME BODY_TZ :
🫵 what a melody brothe u kiil.it ) Sasa ita kuaje kama hayakutoki moyoni hayo maneno matam yanayo.kutok.mdomoni ita kuaje etiiioo ita kuajeeee noama sana uyu apigwe ata sema maneno ana to wap
2026-11-12 10:12:43
2
emmah :
yamine yamal
2026-11-12 10:41:58
1
TECKELOH_T9️⃣4️⃣ :
uyo na lamine yamal wa bongo🔥🔥🔥
2026-11-12 07:40:52
4
ROBY TOZY TZ :
uyu lamini yamali wa bongo ametoboka aisee
2026-11-12 02:58:42
6
Evanes Festo :
Ngoma Kali hii
2026-11-12 10:33:08
1
F N C K💥🌾 :
ndo maana wanagoma kufanya nae kazi wenzie anauwa balaaaa🔥🔥🔥🔥
2026-11-12 07:06:03
3
💥Dino@👑 :
we ibraah wewe!!!!
2026-11-12 11:00:11
1
🫦 Ammy🫦minah3151💞 :
jina la wimbo
2026-11-12 06:51:36
1
D_Motors_Dsm🚘 :
Huyu jamaa amekuja na mambo mengi sana
2026-11-12 08:04:12
3
Mtoto wa baba :
ibraah anaimba Sana ndiyo mana hapewi kolabo punguza mzee baba🥺
2026-11-12 05:24:51
3
PRIZOH studio 🎙️ :
ibrah anajua tuache ushabiki
2026-11-12 07:07:53
2
madobe :
2026-11-12 11:02:43
1
madobe :
2026-11-12 11:02:34
1
Rey ramsey :
nimependa hii
2026-11-11 15:03:03
1
Kevoo_clo👡👚👗👞👖👔🩳 :
huyu mjomba nouma
2026-11-11 22:48:43
2
JOVN MOSHI TWN :
NYIMBO inafamka mwongo mwongo
2026-11-12 08:05:39
1
KIDD DRAKER 48 :
nimekubali Sanaa hii kali[Fire][Fire]
2026-11-12 08:30:58
1
Kelvin :
wimbo ni wa kontawa lakn ukiskiliza unaona ibraah kaua af mwenye wimbo kaharibu 🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-12 09:57:31
1
MAN ALONE☠️ :
fundi sana ibraaah🔥🔥🔥
2026-11-12 07:02:40
1
To see more videos from user @bongoswitch_tz, please go to the Tikwm
homepage.