Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@dr.riziki.og: #mafanikiosiojambondogo
DR SUL📞🇹🇿0724651451
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 15:14:31 GMT
167
16
1
1
Music
Download
No Watermark .mp4 (
1.31MB
)
Watermark .mp4 (
1.31MB
)
Music .mp3
Comments
Yvette :
Hiyo ni kweli babu
2026-11-11 16:38:00
0
To see more videos from user @dr.riziki.og, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
#vattunongsan
আমি আজ বড্ড একা! 😅❤️🩹 . . . #fyp #foryou #foryoupage #shopno1 @TikTok @TikTok Bangladesh
Geoviereck war fusion #schule #schulsystem #overheadprojector #funny
#فوریو #فوریو #فوریو #کیرخر #کیرخر
Rẻ Bền vô đối là Seiko 5 Quân Đội ae nhỉ? #richtranwatch #seiko #seiko5 #donghonam #dongholuot #donghocu #donghochinhhang
KWA NINI MGUU UNAWEZA KUVIMBA NA KUACHA SHIMO UKIBONYEZA? Ukiubonyeza mguu uliovimba kwa kidole na shimo likabaki kwa muda, hali hii huitwa PITTING EDEMA. Kwa lugha rahisi, maana yake ni kwamba maji mengi yamekusanyika ndani ya nyama za mguu (interstitial tissues). 🤔 Kwa nini hali hii hutokea? ❤️ 1. Moyo kutofanya kazi vizuri (Heart failure) Moyo unaposhindwa kusukuma damu vizuri, maji yanaweza kujikusanya kwenye miguu na kusababisha uvimbe. 🫘 2. Matatizo ya Figo Figo zikishindwa kuondoa maji na chumvi ya ziada mwilini, maji yanaweza kujikusanya kwenye miguu. 3. Tatizo la ini Baadhi ya magonjwa ya ini yanaweza kufanya kiwango cha protini muhimu mwilini(Albumin ) kushuka, hivyo maji hutoka kwenye mishipa na kwenda kwenye nyama za mwili. 🩸 4. Damu kutorudi vizuri kutoka miguuni Mtu anayekaa au kusimama muda mrefu, au mwenye tatizo la mishipa ya miguu, Kuna uwezekano mkubwa wa maji kukusanyika kwenye miguu hivyo kuleta uvimbe. 💊 5. Baadhi ya dawa Dawa fulani, hasa baadhi ya dawa za presha kama amlodipine, zinaweza kusababisha miguu au vifundo kuvimba. 🤰 6. Ujauzito Wakati wa ujauzito mabadiliko ya mwili yanaweza kufanya maji kujikusanya kwenye miguu, hasa kuelekea mwisho wa ujauzito Usichukulie poa kuvimba mguu ni jambo moja,unapoubana na kuacha shimo ni jambo lingine kama una Hali hii au ndugu,jirani na rafiki wahi kituo cha Afya Kwa uchunguzi zaidi. Elimu ya Afya Jamii imara💥🔥 #maarifaninguzoyakujiamini #healtheducation #publichealth #pittingedema
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy