@bongo_media: 2026-11-11 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Akizungumza Leo Novemba 10, 2026 ameeleza kuwa kuwepo kwa watu wanaotumia hoteli za kifahari kama Rotana, Hyatt na Serena kufanya shughuli zisizo rasmi, akiwataka wahusika kuweka udhibiti ili kuzuia vitendo hivyo Amesisitiza kuwa watu wanaoingia katika hoteli hizo wanapaswa kuwa na shughuli zinazoeleweka, huku akibainisha umuhimu wa kuimarisha usalama na taswira ya hoteli hizo. Aidha, amezungumzia mpango wa kukamilisha baadhi ya majengo yanayoelekea baharini ili kuboresha mandhari ya jiji na kulifanya kuwa la kuvutia zaidi.

BONGO MEDIA
BONGO MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 15:23:29 GMT
4563
80
5
12

Music

Download

Comments

rachelflorist01
Rachel❤️🌸 :
Heeeeh jmn
2026-11-11 15:58:01
1
nagyl04
Nagy❤️💕 :
Jamn
2026-11-12 15:35:38
0
maliga370
Maliga :
kweli kabisa
2026-11-11 15:44:42
0
pioussheka
eagleeye :
ooh k
2026-11-12 00:09:34
0
lovenesstweve21
loveness :
kweli kabisa mahotel makubwa matapel na wezi ni wengi mno
2026-11-11 16:56:20
0
To see more videos from user @bongo_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About