@gospelmediaafrica__: Watu wa Mungu 🙌🙌🙌 Asanteni sana kwa kujitoa kwenu kuitangaza Injili kwa njia ya uimbaji. Kazi yenu ya uimbaji ni baraka kubwa kwa wengi. Mungu aendelee kuwavusha viwango vipya na kuwapa neema ya kuendelea kusimama imara kwa ajili ya Kristo! @neemagospelchoirtz ………………………………………. Kwa Habari zaidi Follow @Frank ……………………………………….. . . #gospelmediaafrica #trending #neemagospelchoir #daressalaam #creatorsearchinsights
Gospel Media Africa (GMA)
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 15:27:40 GMT
Music
Download
Comments
yesu ni bwana oo haleluya
2026-11-11 18:19:39
8
johannes :
YESU NI BWANA
2026-11-11 20:06:57
5
emmabass :
andrew solo you so mazing thanks for that sound
2026-11-12 04:19:19
0
~peterson2🎮🏀 :
Mbona kama hamumsikii huyo Bassist mwingine
2026-11-11 20:08:53
4
Adelia Electronics Company :
hallelujah ahhaaaa😍😍😍
2026-11-11 15:49:55
6
Goodluck Eliudy :
uuu hatamm nishawashitukia
2026-11-11 19:40:04
1
😊 :
Exactly😊
2026-11-11 22:05:11
0
D :
Aluluuuuuuuuuuuuuu🥰
2026-11-11 18:14:22
1
Three Fifteen 0315 :
Neema gospel imeteka mitandao yote🙏🙏🙏
2026-11-12 04:31:37
1
Lizzy Joseph :
cosmas chidumure🥰🥰🥰 njoo huku neema gospel wameutendea haki wimbo wako
2026-11-12 03:14:51
1
Fatuma💝 :
wow 😍😍😍😍 amazing
2026-11-11 20:11:58
1
mangi❣️daughter❤️ :
ndoo new song au vip maan unagusa kwa kilind ch moyo
2026-11-12 04:58:44
0
Anna Nalomba :
nabarikiwa sana na nyimbo zao
2026-11-12 05:00:39
0
isango18 :
hapo mwanzo hapo jamani👐👐👐👐👐
2026-11-12 05:04:49
0
Veronica Joshua :
nice
2026-11-11 20:23:12
1
Mbatizaji OG. :
Ata mie nahisi ivo
2026-11-12 04:51:33
0
Sam umi :
mm nasikia tu bass Na solo Na drumist 🔥
2026-11-12 03:35:28
0
Lidya Loxhyekh :
wow
2026-11-11 22:04:34
0
pili koksi😍 :
hawa wananibariki mno MUNGU awalinde[Heartwarming]
2026-11-12 02:54:49
0
Emmy💞♒️🏺 :
2026-11-12 05:35:20
0
monica :
safi mbarikiwe
2026-11-12 03:04:54
0
getruda :
amina
2026-11-12 06:02:02
0
Forest Boy FB. :
aiseee
2026-11-12 03:00:26
0
Naomi boutique :
ndio mjitaidi kushika shimbo zao zifa wataongoza hawa mbingunii🥰
2026-11-11 20:02:29
1
face_ID255 :
2026-11-12 05:16:39
0
To see more videos from user @gospelmediaafrica__, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.