@bongo_media: 2026-11-11 Binti aliyefariki dunia katika nyumba ya mwanaume (geto) jijini Arusha amebainika kuwa na umri wa miaka 17, huku ndugu zake wakieleza kuwa alikuwa amefikia elimu ya darasa la saba. Kwa mujibu wa ndugu hao, binti huyo alikuwa na hali ya kiafya ambapo anapopata hasira huanguka ghafla. Maelezo hayo yameibua maswali kuhusu mazingira ya kifo chake na hali aliyokuwa nayo kabla ya tukio hilo. Tukio hilo limeendelea kuibua mjadala kuhusu mazingira ya kifo cha mtoto huyo na namna alivyokuwa akiishi.
BONGO MEDIA
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 15:54:18 GMT
Music
Download
Comments
natalia :
familia inahofu ya mungu sana
2026-11-12 03:56:02
35
Dr.Dre :
familia ya Binti haiko tayar kumpoteza kijana aliepatwa na janga
2026-11-12 05:27:54
19
norahmike509 :
Duu! miaka 17 analala nje ya nyumba ya wazazi😭😭😭
2026-11-12 07:39:16
2
Dido :
Kijana yuko huru afadhali
2026-11-12 00:41:21
8
TULLY 🥰❤️ LUCKY ♥️ :
ohooooo kijana alimuuzi jaman 🙌
2026-11-12 05:18:17
4
gmk :
familia zenye ukweri na hofu ya Mungu siku zote husema ukweri
2026-11-12 05:32:53
15
women principles :
Sasa miaka 17 mm ata nlikuwa cjawai tongozwa jaman ama nlikuwa na tatizo
2026-11-12 04:41:54
6
mis-aysha :
kaaah watoto wa siku hizi miaka kumi na saba jaman mbon wanaanza michakato mapema hivyo
2026-11-12 07:25:55
2
nuruhlaizer548 :
17 si mdogo sana jaman
2026-11-12 06:41:42
1
Edina Minja :
Mjomba ni handsome sana shindwa pepo binti mrembo jamani
2026-11-11 20:46:12
5
userjacgueline :
mungu ampunzishe Kwa amani
2026-11-12 06:23:20
2
WARDA🌹 :
Bint ni mrembo
2026-11-12 06:33:42
3
Christopher Ngonyani :
ubarikiwe kwa ukwel mungu awatie nguvu kwa msiba mzito wa bint wenu mdg
2026-11-12 07:12:15
1
Queen G🥰🫂 :
Bora n wasema kwely
2026-11-12 07:45:24
1
da zu :
mungu amlaze Mahal pema
2026-11-11 20:41:33
2
Ashahy ❤️ D :
Inalilah waina ilah rajun
2026-11-11 16:54:06
9
Grace Gervas :
kazurriiii
2026-11-11 20:07:45
1
Halima Said :
jamn polen
2026-11-11 17:57:39
1
Paskalina Odo :
ameeni ameeni
2026-11-11 16:10:36
1
@_hope😍 :
mungu awatie nguvu
2026-11-12 04:35:35
0
Tecla Electrical :
Rip MUNGU akulaze mahali pema binti mzuri sana ila familia ya marehemu nawapa pole hongereni kwa kusema ukweli
2026-11-12 07:34:22
0
Sasha luxe👑🧚♀️ :
Kama anatatizo basiii kijana Hana hatiaaaa km angeuaaaa si angekimbiaaaa lkn yy aliitaaa watu swala la hasiraaaa hao ni binadamuuu labda walikwazanaaa
2026-11-12 08:44:25
0
Niya Babe💓 :
dah
2026-11-12 06:37:15
0
Daniel Elia. :
poleni sana.
2026-11-12 07:17:18
0
Neema Mshanga :
poleni
2026-11-11 16:50:05
0
To see more videos from user @bongo_media, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.