@sajabe_tv1: Tarehe 11 novemba huadhimishwa kama siku ya wasio na wapenzi (Singles' Day) Maadhimisho ya siku hii yanafanyika kwa lengo la kuthamini na kujivunia maisha ya wanaoishi bila kuwa na uhusiano wa kimapenzi, yakihimiza watu kujipenda na kujijali wenyewe. Maadhimisho haya yalianzia nchini China miaka ya 1990 na sasa yanaadhimishwa duniani kote. Je, na wewe ni miongoni mwa wanaoadhimisha siku hii ?

SAJABE_TV
SAJABE_TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 16:08:37 GMT
58
6
2
1

Music

Download

Comments

user99867691081922
Kinje 💪 :
typoooo🤛🤛
2026-11-11 16:20:18
0
nasrmaulid
Naswirdiyn :
tupoooo
2026-11-11 16:13:41
0
To see more videos from user @sajabe_tv1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About