@gcangel1:

Apostle GC Angel
Apostle GC Angel
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 16:09:36 GMT
25236
1479
69
43

Music

Download

Comments

ebeneza_01
@Ebby_tz🫢 :
Tutawatambua kwa matendo, uzuri neno la Mungu halidanganyi hufichua yote 🙏🙏
2026-11-12 02:54:39
18
_lizzymalla
Miss_ Obadia :
Kumbe hii tunaruhusiwa kuimba 😁
2026-11-12 07:33:43
5
cloumichael
Mtumishi wa Mungu :
sio kila mtu au muimbaji wa kidunia au watu maarufu wakisema au wakiimba nyimbo zao wakisema wanaomba kwa mungu inamaanisha ni Mungu wa mbinguni ,maana wengi wameuza nafsi zao kwa shetani na wanamuita mungu ,maana yeye ni mungu wa Dunia hii kama ule wimbo wa Joel na Diamond, Ninakushaur tu mtumishi wa Mungu hizi nyimbo za kidunia sio za kusikiliz wengi wamemtukuz mungu wa Dunia hii kwa kusikiliz hizo nyimbo na kuziimba,maana zimejaa majivuno,kujisifu na kusifia ngonona pombe ,na ujiulize huyo aliyeimba amemkiri Kristo yani anamuamini kuwa ni Mungu kama si hivyo basi umesapoti mungu wake anayemuamini, maan usipomjua Mungu wa kweli basi unaabudu miungu mingine pasipo kujua
2026-11-11 19:20:46
12
neymalaika
Neymalaika_collections_ :
Ila Miungu watu sasa uwo wimbo unashida gan🥲🤣🤣
2026-11-11 20:59:31
12
micky.classic.tz
Micky Classic TZ barbershop :
Sasa naelewa
2026-11-11 17:32:51
13
ntari_01
Ntari_01🇹🇿🇺🇸 :
vuguvugu 😂😂😂.. YESHUA 🙏🙏🙏
2026-11-12 11:28:24
1
0628313187ma
APOSTLE JAPHET MARAMBE :
shida watu wengi wanaichukulia injili kama laini flani hivi Wacha nikuambie tangu yohana Hadi Leo injili haijawahi badilika na wokovu haubadilishwi kwendana na wakati au mitazamo ya Dunia kuwa makini sana
2026-11-12 07:33:28
7
eddy.mgy
Eddy mgy :
akili kichwani kwangu sikuizi dhaa
2026-11-11 18:57:15
7
promaker738
Promaker🎼 :
Kumbe apostle ni mjuba 💪🏽
2026-11-11 16:13:33
15
goldfree.abdulkad
Goldfree Abdulkadil mohamad :
ukilijua bible utagundua tulipigea ,dini imekuwa bizniz kazi ,hawa wanajua yoote km Mungu WA Israel hatuhusu .
2026-11-12 10:13:59
1
chittez8
Thanos001 :
mi naomba kwa YESU mwenzangu unaomba kwa nani
2026-11-11 20:28:51
3
apostlegoodluckwayesusu
Apostle Goodluck wa Yesu✝️ :
ata Mimi naomba kwa MUNGU.
2026-11-11 18:38:21
4
user7554146822036
B_FM :
Mitume waliong'ang'ania Mjini.
2026-11-11 18:25:47
3
ms_edith11
ms_edith11🇹🇿🇺🇸 :
Oh Haleluya
2026-11-12 03:48:30
1
auness.kimaro
Auness Kimaro :
Safi
2026-11-11 17:41:23
3
patrick_mindfullness
patrick_mindfullness :
Kama ya Gigi Money..Hongera
2026-11-11 19:17:36
1
isaiah.jorde.mwaka
isaiah jorde mwakalenge :
Amina
2026-11-11 17:10:36
2
betonalyabodyabet
BetoNalyabody@🇲🇿 :
2026-11-11 18:41:49
3
renanzlem
Ren Anzlem :
2026-11-12 02:40:06
1
ester.p.makondo
Ester P Makondo :
mmmmh
2026-11-11 18:30:16
2
flora.kassa
Flora Kassa :
Baraka ni nyingii😅
2026-11-11 19:45:27
4
_sophycharlie004
Ms. Charlie004 :
2026-11-11 18:18:50
2
harun.white
Harun White :
🙏🙏🙏
2026-11-11 18:06:02
2
the_imara_journey
Camera_255 📸 :
🤣 kazi ipo
2026-11-11 20:42:53
1
cesiliakachima1
My LifeSToryCesy :
Nimefurahi🥰🥰
2026-11-11 20:53:09
1
To see more videos from user @gcangel1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About