@mamakaja2030: *PICHA:* Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya Picha aliposhiriki Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31) Antalya Nchini Uturuki leo Novemba 11,2026. Fuatilia mitandao yetu ya kijamii Instagram: @mamakajatz Twitter @mamakajatz Facebook: Mamakajatz YouTube: Mama kaja tz #Mamakaja #kazinaututunasongambele