@halisimax: POLISI DAR WAWASHIKILIA WATUHUMIWA WAWILI KWA TUHUMA ZA UHARIBIFU WA MALI NA KUMSHAMBULIA ASKARI Polisi mkoa wa Dar es Salaam inawashikilia watu wawili kwa tuhuma tofauti. Mtuhumiwa wa kwanza, Halidi Seleman Kalaghe (45), anadaiwa kutumia mtambo wa Excavator kuharibu mageti, uzio, magari mawili na nyumba za muda za kampuni ya mkandarasi anayefanya ujenzi wa barabara Kigamboni, baada ya kutofautiana na mwajiri wake. Mtuhumiwa wa pili, Peter Mmasi (32), anadaiwa kumzuia na kumshambulia askari polisi aliyekuwa akimkamata kwa tuhuma za kumtishia mtu kumuua. Polisi imesema naendelea na taratibu za kisheria dhidi ya watuhumiwa hao. SWQLI: Unapokuwa na madai au mgogoro kazini, je, ni sahihi kufikia hatua ya kuharibu mali kwa hasira? 🤔✍️ #tanzaniatiktok #tanzania🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktoktanzania

Halisi MAX
Halisi MAX
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 16:41:38 GMT
20555
511
14
23

Music

Download

Comments

dorisi378
Dorisi178 :
Chanzo ni kipi maana aliye alibu sio mweu jamani
2026-11-11 18:59:10
5
wilfred.kihaka
Wilfred Kihaka :
hii siyo sawa kwa sababu mambo kama hayo yanazungumzika
2026-11-11 18:19:55
2
jaredyoundo
MASTER 040 :
Acha kuharibu mali tu ata kumpeleka boss mbele za haki nitafanya
2026-11-11 19:45:45
0
hashim.tosh
Hashim tosh :
tujiandae tu msada wa kisharia kuwapatia hao wawili ili wawe huru jamani tena kama ndio rais nampeleka huyo jama jeshini moja kwa moja ni askari mzuri sana 👍
2026-11-11 19:30:23
0
tifpack
malcom x :
ww si tunadai lzm watulipe
2026-11-11 19:20:34
0
kisomaaidan1
life bike :
wamehalibu kwani ilodude linaendeshwa na watu wangapi
2026-11-11 18:50:47
0
kova.junior
kova junior2️⃣6️⃣ Life 🇫🇷 :
hurumq cyo malezi
2026-11-11 19:26:03
0
ngaralumba
ngara :
Ashikiliwe na boss nae akaojiwe chanzo ninini kesi isikilizwe pande zote mbili
2026-11-11 19:33:46
0
aliy.tweve
aliy tweve :
akuna watu wali0 Shanghaa apo Sawa tu kabisa
2026-11-11 19:10:21
0
shedrack9523
shedrack9523 :
maneno ya boss kuniongeleshamm kama mwanaye wakati nyuma yangu Kuna watu wanaotaka kula na vingine
2026-11-11 18:53:24
0
s.bjr1
bomola :
swal liko jibu lake ni ndio
2026-11-11 18:54:46
0
batwelimfikwa
batwelimfikwa :
Huyo jamaa nihatari
2026-11-11 19:06:26
0
broks_25
🦅broks🦅 :
We ndo umeshangaa sisi hatujashangaa walaaa
2026-11-11 19:27:39
0
sarahbwile
sarahbwile :
wangapi wamearibu
2026-11-11 18:11:12
0
user6235096624109
user6235096624109 :
Yuko saii
2026-11-11 18:34:31
0
7awa63
7awa :
unatakiwa uogope binadamu kuliko jini simuamini mtu
2026-11-11 16:52:40
0
raheemjones7q1
Raheem :
msichokijua ni kwambwa hii serekali ni miyeyusho kinoma jamaa alicho Fanya Yuko sahihi kwa asilimia mia shida ni kwamba nyie mnaangaia upande mmoja
2026-11-11 19:09:09
1
jitulamtumba46
B@B@ D@DY :
wamekamatwa nanani bwana wewe
2026-11-11 19:19:43
0
mrmmbaga
Mr Mmbaga 💪💪💪 :
Mm si mlaumu kabisa na huyo ameshachoka mpk akaamua kufanya hivo
2026-11-11 19:15:36
0
baddie79994
Baddie :
Mafundi mnatuchukilia poa Maboss fuck that sisi ndo tunapendezesha mjii huu so this is bullshit
2026-11-11 19:13:44
0
rahim91maganza
Rizik7 :
anataka ela yake watu awachekeshi
2026-11-11 19:13:01
0
quibuana.bilar.ac1
Key=by Marine 🇲🇿 :
😁😁😁
2026-11-11 19:00:34
0
osicka.g.kavura
osicka.g.kavura :
👍👍👍
2026-11-11 19:38:36
0
To see more videos from user @halisimax, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About