BBC dah nimekumbuka mbali sana mdrid ya UEFA champions league
2026-11-12 05:42:29
7
Yechezequel820 :
Amezungumza vizuri lakini Benzema Bado sana kwa Suarez kwasababu Suarez ameshinda European golden boot mara mbili kitu ambacho Benzema ajafanya japo kuwa alishinda tuzo ya mchezaji Bora.
Tukija kwenye swala namba Tisa Bora katika wakati wake lazima umtaje Lewandovski then Suarez baadae ndio umtaje Benzema
2026-11-12 12:39:32
0
Elia champion 🏆 :
MSN haiwezi tokea tena
2026-11-12 11:42:23
4
MAT CHARS BOY 1 :
UEF mara tatu mfululizo BBC AIjikutokea
2026-11-13 14:37:26
1
Elluminatt :
unajua kuchambua mpra
2026-11-11 18:49:22
5
frank :
bbc ilikuwa ni el mino
2026-11-12 11:29:11
3
kherI barna :
suarez mfungaji
2026-11-11 19:48:24
1
Davis Deodatus :
MSN na nani😂
2026-11-11 19:09:09
2
bymido26 :
MSN
2026-11-11 20:19:42
2
Yuzzoh255 🇹🇿 :
Bbc
2026-11-11 19:37:37
2
dadiali482 :
nilixogundua wengn wanauxabiki ila ukiangalia kiundani zaid Dogo yupo sahh kbsa yn
2026-11-11 19:03:45
0
tyga_photographer99 :
🔥🔥🔥
2026-11-12 06:55:00
1
Tz Culer_Og :
Ww MSN ni mootooo 😅
2026-11-13 11:15:30
0
Brown mosses :
MSN
2026-11-12 07:21:04
1
milaboy73 :
huyo dgo bado sana
2026-11-12 21:10:31
0
milaboy73 :
mkumbusheni huyo surez kachukua kitu mbele ya wafalme wawili
2026-11-12 21:11:46
0
manoti :
kina mess walikua kisanga ila kina ronaldo walikua na mafanikio ila wale kina mess utawaona wabaya kama hawachez na wewe😀
2026-11-13 18:48:34
0
Mwanabii..💋💋 :
dogo uhakika
2026-11-13 06:23:28
0
Linus mjuliz Tumain :
MSN noma ukitangulia 5 wao wanakufunga 7 hata kama zimebaki dk 5
2026-11-13 11:15:57
0
Ally Seif :
Najua kaongea ivo ili Tucomment lkn anajua ukwel
2026-11-13 04:53:35
0
waziri50 :
chama,oura,mpanzu na gueye
2026-11-11 19:29:28
0
To see more videos from user @khansport360, please go to the Tikwm
homepage.