@ferma.gugu: Încă o zi pe care ne-a dat-o Dumnezeu🙏 #dumnezeu #viata

Ferma Gugu
Ferma Gugu
Open In TikTok:
Region: RO
Wednesday 11 November 2026 17:19:40 GMT
244
25
1
0

Music

Download

Comments

adriana.grigoresc5
Adriana Grigorescu :
❤️❤️❤️
2026-11-11 17:23:47
0
sainu.loredana
Sainu Loredana :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-11 17:48:47
0
To see more videos from user @ferma.gugu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Sababu 7 Zinazofanya Ugonjwa Wa Kisukari Apangilie Milo Yake Kila Siku. 1. Kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu (Blood Glucose Control) Kila unapokula, hasa vyakula vyenye wanga (carbohydrates), kiwango cha glucose kwenye damu kinaweza kuongezeka. Kupanga milo kunasaidia kudhibiti kiasi cha wanga kinachoingia mwilini na kupunguza kupanda kwa sukari kupita kiasi. 2. Kuzuia kushuka kwa sukari ghafla (Hypoglycemia) Kwa wagonjwa wanaotumia insulin au baadhi ya dawa za kisukari, kuchelewa kula, kuruka mlo au kula chakula kidogo kuliko kilivyopangwa kunaweza kusababisha sukari kushuka sana. 3. Kuboresha mwitikio wa insulin (Insulin Management) Mpangilio mzuri wa milo husaidia kuoanisha muda na kiasi cha chakula na mahitaji ya insulin au dawa zinazotumiwa na mgonjwa. 4. Kusaidia kudhibiti uzito wa mwili (Weight Management) Uzito uliozidi, hasa mafuta yanayozunguka tumbo (visceral fat), unaweza kuongeza insulin resistance. Mpango mzuri wa chakula husaidia kudhibiti uzito na kuboresha insulin sensitivity. 5. Kuzuia kupanda kwa sukari baada ya kula (Postprandial Hyperglycemia) Kula kiasi kikubwa cha wanga kwa mlo mmoja kunaweza kusababisha sukari kupanda sana baada ya kula. Kugawa kiasi cha wanga kwa utaratibu unaofaa kunaweza kusaidia kudhibiti hali hii. 6. Kulinda afya ya moyo, figo na mishipa ya damu Kisukari kisipodhibitiwa kinaweza kuongeza hatari ya matatizo ya moyo, figo, macho na mishipa ya fahamu. Mpangilio wa lishe bora husaidia kupunguza hatari hizo. 7. Kuboresha nguvu na utendaji wa mwili Mwili unahitaji virutubisho mbalimbali ili kuzalisha nishati, kurekebisha seli na kuendesha shughuli za kila siku. Kula kwa mpangilio kunasaidia kupata virutubisho hivyo kwa uwiano unaofaa. Mgonjwa wa kisukari anatakiwa kupanga nini kwenye kila mlo

About