@marfilms5: sakata la kijana celvin lazidi kupamba moto huku wengine wakizidi piga hesabu juu ya vifungu vya sheria na adhabu zake na kukisia endapo atahukuwa na kufungwa basi atamaliza hukumu yake akiwa umri umesonga sana "EWE kijana mwenzangu kesho yako ni fumbo kubwa ishi kwa tahadhari na hofu epuka kufanya maovu na kuvunja sheria za kidini ama kiserikali" NINGALIJUA HUJA BAADA YAAH!!#tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #congolaise🇨🇩 #nigeriantiktok🇳🇬 #creatorsearchinsights

Mar Films
Mar Films
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 17:47:06 GMT
226376
9098
524
257

Music

Download

Comments

sheismiss_faah
♍️ :
Kosa la Kwanza Alikuwa Ni Mwanafunzi Haijalishi Nini Kaa Mbali Na wanafunzi Kosa La Pili Ni Kurekodi Na Kosa La tatu Ni Kuvujisha Izo Video Msitetee Ujinga Hata Kama Mwanafunzi Mwenyew Alitaka Ila Sheria Hairuhusu Ni Bora Kumkimbia Mwanafunzi Kuliko Hili La Kukatisha Ndoto Zako
2026-11-12 18:14:53
25
rkdomomo
RK domomo :
ajatendewa haki watoto walitangaza wenyewe kua wanaingia mtaani kufanya ivo vitendo kwann jamaa afungwe
2026-11-11 19:55:52
295
_illegalnaye_
🌸🧸ILLEGAL NAYE🧸🌸 :
ila kevi ni mbaya jmn😂
2026-11-12 14:24:21
34
britneyknowles801
Lady bee💞💞💋🥰♥️ :
anafungwa peke yake kwa nini na walifanya wote
2026-11-12 16:32:23
9
qerwoshy
Qerwoshy :
kuna watu wanadhani tumepata fundisho 😂😂😂😂
2026-11-12 15:25:02
38
spiffygriana2
Mrembo closet :
umu ndani nmeona vijana wengi wana ujinga sana, yaani mtu anasema uyo kaka kaonewa eti wameangalia upande mmoja uo upande wa pili mliotaka waangalie ni upi?? alafu mmeshaona sifa kuwarekodi mabinti za watu alafu mnataka haki dada zenu wangefanyiwa ivi mngesema serikali inaangalia upande mmoja ebu kuweni na utu
2026-11-12 18:05:03
13
irene.richard54
Irene Richard :
mbona afungwe Na mtoto alikua akiita Hadi babe
2026-11-12 04:29:20
59
user3021176965676
amina yz :
nan hajaona
2026-11-11 20:58:10
10
userjaylen
jaylen :
Alaf nyie mnaotetea ety ali ridhia mwenyew saw kwann apost sasa au kisa sio ndugu yenu
2026-11-12 05:08:29
24
evellinajuma
Evans💗💖🌹 :
me sisemi kitu ata wangeenda wote tu
2026-11-11 19:51:57
31
bela.jeremia
Bela Jeremia :
Akome fundisho na kwa wengne
2026-11-12 14:33:24
5
last.born50525
It's Jackie 👑 :
Duuh alafu n fundi garage
2026-11-12 17:42:02
0
brianking415
BRIAN 02 :
Larkin siku moja gerezani inahesabika kam siku 2
2026-11-12 01:16:42
33
manando.gp5
MANANDO GP :
kwan huyu ni dereva auu[Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed]
2026-11-12 04:41:42
0
primeaura.tz
PrimeAura :
_huyu hajahukumiwa kwakosa la kudate na mwanafunzi nikwakosa la kumrecodi na kumposit kwakifupi kwakosa la udhalilishaji.hata wanandoa kisheria ya nchi yetu hawaruhusiwi kufanya hivyo_
2026-11-12 17:50:01
6
allyaidary
Ally Aidary :
jibu ni moja tuu kitabu cha allah kishasema uzinifu unaleta ufakiri
2026-11-11 19:33:12
12
mam.nilhaniog
mam nilhani🥰🥰og🫶🫶 :
ila jaman tuende mbele af turud nyuma ila me nyuma sirud😂😂😂😂
2026-11-11 19:28:29
8
zakia.jumanne7
Zakia jumanne :
jamani mm nimezaa lakini hawa. wtt wanatuhumiza yaani huu mchezo kahuzoea kosa la kijana kumlekodi
2026-11-12 03:25:55
6
abdurazakidai
Abdurazaki Dai :
anarekodi ili amuonyeshe nani ? matumizi mabaya ya mtandao daah
2026-11-12 03:49:12
8
stumaiisack
maibraids 🥀💫 :
mbn mwanafunzi sura ingine au niache kujiamlia mambo
2026-11-12 02:11:31
4
grace.grace7699
Grace Grace :
kwnn yeye alirekodi nakuonyesha mitandao alikuwa na malengo gn
2026-11-12 04:45:40
5
dayman.madosh
Dayman Madosh :
Kwan Kabaka s makubaliano
2026-11-12 18:26:04
0
nasmayahaya07
nasmayahaya550 :
mwenzen ninay 4
2026-11-12 16:43:10
2
mamorich0
mamorich :
Mwenyezi Mungu tulindie watoto wetu.
2026-11-12 17:43:38
3
user3918855679
kipenzi cha mama🥰 :
huyo hakubaka lakn kwann afungwa san na mtoto hafungi kwanni je niyeye anie muanzisha kufanya Ivo
2026-11-12 05:10:11
1
To see more videos from user @marfilms5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About