@esko_donald: Hatimaye Mwavuli wetu umemfunika mama Monica kwa kiasi cha shilingi milioni 5 kutoka kwa Wana-Umbrella. Mama Monica amelia sana kwa furaha akiona kama yupo ndotoni. Hakika furaha yetu ni kuona wanafurahi, hakika Jeshi la Wana-Umbrella likiamua linafanya, Jeshi letu halishindwi. #TheUmbrellaFoundation furaha yetu ni kuona wanafurahi.
LIBARIKIWE TUMBO LILILO M BEBA HUYU KAKA PAMOJA NA WOTE WANAO MTUMIA HUYU KAKA KUFIKISHA MSAADA KWA WAHITAJI🙏🙏
2026-11-11 18:02:38
74
official nally :
mwenyezi mungu awabariki wazazi wotee
2026-11-11 17:59:34
24
MOMO_TRENDS :
Daaah nmelia mama anashukran sana hii familia ina fundsho kubwa la maisha. watot watulivu hyu monica ametulia sana jaman nahs hata kupata mtt mapema sabab kbw ni hal ya maisha ya nyumbn kwao tu. Ila nmepata fundsho hapa🥰
2026-11-11 18:07:05
16
maryce :
watoto wake wazuri
2026-11-11 18:40:48
16
saadamurembo :
Inabidi ataftiwe nyumba ingine jmn itapendeza🥰
2026-11-11 18:07:14
25
Nyamate one and onlybaby :
kaka esko mim pia naomba .msaada wko nipo kimara
2026-11-11 18:21:54
6
HOUSE OF BEAUTY💞❤ :
SA MBONA MM NDO NALIAA JAMANI
2026-11-11 18:03:29
13
irene_maz7 :
Kaka Una hekima na adabu ya kuzungumza unajua mipaka ya kuongea Mungu azd kukuinua
2026-11-11 17:54:48
49
Colleyn :
Najikuta naliaaa mim ad mafua jmn🥺🥺
2026-11-11 18:13:59
11
richmomo3🦋 :
🥹🥹tumfungulie na nyumba ya ibadaa awee mama mchungajii Ana Imani sana
2026-11-11 18:36:33
5
Luucosmetics8 :
napenda kitu chakwanza tu anaanza kumshukuru mungu 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
2026-11-11 18:00:44
8
gracegodson :
Haki nimelia[Teary eyed]
2026-11-11 19:35:15
0
annety :
huyu mama mungu yupo nae siku ile hakua anarud nyumban kisa Kodi na akapata Kodi kwa uwezo wa mungu Leo tena hawajala ila kapata pesa ya chakula😭😭😭
2026-11-11 18:23:56
7
monah official 🥰🥰 :
Monica mzur jaman nimaisha tuuu
2026-11-11 18:37:42
6
lukreshous kitaly :
EEE Mungu nashukuru Kwa wema wako
nibariki na Mimi niweze kuwa baraka Kwa wengine
2026-11-11 18:13:06
5
Sweetie 25 :
Monica mrembo MASHAALLAH
2026-11-11 19:40:52
0
Smart p🥰 :
kaka esko Mungu azidi kukuinua na kukuweka zaid zaid🙏🙏🙏
2026-11-11 17:59:10
8
@da zuu_clothing Mwanza1 :
Hakuna kitu kizur kma kuish kwa imani🙏🏼💚
2026-11-11 18:07:10
5
P tailor :
nimejikuta nalia kama mtu hujawahi pitia shida yoyote huwezi kuelewa mbarikiwe watu wa Mungu 🙌
2026-11-11 19:47:20
1
ISSAFURSA MCHANGANYO :
bora uwaongoze japo kuwanunulia kiwanja cha milion mbiki kisha ingine wafanye biashara hata ya duka
2026-11-11 19:43:50
0
Dee🦋♌️ :
Kumtegemea Mungu kuna faida🙏🙏😭
2026-11-11 19:12:02
0
janethkomba7 :
Ninachopenda tangu siku ya kwanza mama anasali sana anashukulu mno🥹🙏🏽🙏🏽
2026-11-11 19:42:09
2
Bhoke :
libarikiwe tumbo la uzazi lililokubeba Esko
2026-11-11 19:16:43
4
CasmirTz :
[Teary eyed][Teary eyed]Daah nimelia na hii familia mungu akawapambanie ikawe familia yenye faraja na amani tele
2026-11-11 19:27:02
1
To see more videos from user @esko_donald, please go to the Tikwm
homepage.