@mudi_lacunta: Unakumbuka nini ukiskia mlio huu? #zanzibar #zanzibartiktok #tanzaniatiktok #lacunta #zanzibarlife

LACUNTA
LACUNTA
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 17:50:36 GMT
9279
172
29
33

Music

Download

Comments

user3411018503280
user3411018503280 :
hiyo ni sauti ya kuwadia kwa kipindi cha burudani kutoka sauti ya Tanzania Zanzibar na sisi ni mda wa chuoni 😅
2026-11-14 09:03:37
2
areola_______030
AREOLA_GK 🧤🥅 :
dah mlio wachuoni uwo😅
2026-11-12 13:54:19
0
bad.boy_2102
F B I ☠️ 26 :
Dah sopoa
2026-11-12 08:35:47
1
nadhifa3787
nadhifa &☆ :
kwawale tulokuwa tunawaza kwenda chuoni tujuani hapo😂😂😂
2026-11-11 18:00:38
2
nahodanahoda428
BABUYANGU :
ila zanzibar kuna asilifulani ivi haiwezi kuparikana scheme yoyote ile hata wafoji ukiskia huu mziki saa 8 iyo mda wa madrasa
2026-11-15 07:28:21
1
jorjo416
jorjo Amani Zanzibar :
Dah nikisikia muda wa kwenda chuoni
2026-11-12 17:01:00
0
saifsaify20
saifsaify20 :
Nlikua nanuna ila utaenda tu
2026-11-11 19:26:58
0
queenc8696
queenc :
enzi hizo jiko la makaa twaliita seredani🤣🤣🤣🤣
2026-11-12 17:36:02
0
inshaal525
INSHAALLAH :
kwelii asa
2026-11-12 17:55:24
1
rukaiya.henna
Rukaiya Henna :
hasira kama zote ten iwe hujala uwiiih🤣
2026-11-12 03:55:57
1
user1678167262343
user1678167262343 :
kwakwelik
2026-11-13 19:36:37
1
mtoto.dome
Mtoto wa DOME :
tulio soma donge chuo cha maximum zamani tujuwane
2026-11-13 12:01:30
1
raudha_kids
Raudha Kids :
kwli
2026-11-13 11:17:29
1
sabiha.khamis2
rumaitham🇹🇿🇹🇿🇴🇲 Zanzibar :
mda WA chuoni saa nane
2026-11-11 18:26:18
1
maha_phone_accessories
Maha_Phones_Accessories :
nilikuwa nikiskia hii sauti ilikuwa napata homa [Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-12 18:07:42
0
rukaiya.henna
Rukaiya Henna :
🤣zaman rah bhn so kam sas
2026-11-12 03:56:18
0
z_.0169
z_.01 :
Hapo Mara unakimbilia chooni umebanwa na tumbo hutoki mpka saa tisa daah
2026-11-14 20:13:52
1
sumbwanga
sumbwanga :
ukiona kumbi likiangaka ujuwe kimiwiva
2026-11-12 13:28:12
0
user885920728391
didahgege :
mida y chuoni iyo ukichrewa fimbo
2026-11-12 15:11:09
0
ummymalasa
Ummy Malasa :
muda wa kuulw kichw huu😂😂usende chuon
2026-11-13 20:13:46
1
To see more videos from user @mudi_lacunta, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About