@sayyed.og.com: Kama wewe nikiongozi au unaongoza kundi lawatu, ukitaka kuziteka akili za watu hao, yaani wakutii na wafanye kila jambo utakalo waamrisha,Tumia beti hii Adhwimu inayopatikana katika dua maarufu kama JALJALUUTI. Andika beti hii mara tatu katika karatasi nyeupe siku ya jumatano saa moja asubuhi Kwa kutumia kalamu nyekundu,kisha kwa chini yake utaandika majina ya hao watu ambao unataka wakutii na wafanye kila utakalo waamrisha. Baada ya hapo utaisomea karatasi hiyo beti hii mara 113, kisha utatia nia yako kwa kunuwia kwamba unaziteka akili za watu hao wakutii na wakuogope na wafanye kila utalowaambia. Kisha karatasi hiyo utakwenda kuizika katikati ya kaburi la mtoto mchanga kwa manuizi makali sana kama nilivyo elekeza. Kwahakika watu hao watafanya kila utakalo waambia. Watakutii na kukuogopa sana na watakupa ushirikiano kwa kila kitu. Inshallah 🙏