WAO walidai kuwa ni wasomi, sasa akawapa challenge ya kusoma Quran kwa KIARABU, kwa sababu tafsiri ya Quran haiko moja ila Quran ni moja....Na ndo kwa Maana wasomi wengi wanaokuwa na MIJADALA huwa MIJADALA Yao Iko katika kuifasiri Quran kutoka kwenye KIARABU chake. kwa hivyo kuegemea kwenye fasiri ni sawa na kutokuwa msomi wa Quran. Na apo ndo Kuna elimu sasa ya Quran.
SASA ALIWAPA CHALLENGE KAMA WAO NI WASOMI WA QURANI, WAISOME QURAN KWA LUGHA YAKE, ILI MJADALA UWE WA KISOMI NA UANZIE HAPO HAPO......
2026-11-12 05:44:33
19
Szczesny :
kwahiyo wale waliotafsiri kwenda kiswahili hawakuwa waislam? mbona mnazikataa hizo tafsiri?😳😳😳
2026-11-11 20:27:37
33
abdallahdullah268 :
Tafsiri sio Quran, Quran unaweza kutafsiri kwa Lugha yyte. Lkn ukiisoma lazima uisome vile ilivyo.
2026-11-11 19:34:53
18
onzie koby :
kwani huyo kijana ni mwarabu
2026-11-11 21:29:17
19
tawheed :
takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiirrrrrrr
2026-11-11 19:06:09
14
Y mariki :
Huyo Mungu Gani anajua lugha moja.pili hapa Tanzania kiarabu sio lugha yetu rasmi.
2026-11-13 13:07:06
10
Papa Fadhili :
ss Kuna lugha Gani duniani Haina tafsri?
2026-11-12 05:31:54
9
lastborn :
tumefungwa kwa kiarabu haki tena tumefungwa
2026-11-11 19:43:27
1
mkristobaraka :
sasa ikisomwa Sisi tusiojua kiarabu tutaelewaje
2026-11-12 04:55:55
2
bruz :
Bado ikisomwa Kwa kiarabu itabidi msomaji atafsiri Kwa kiswahili,sasa tuta amini tafsiri yake aje?
2026-11-12 13:34:06
2
mike :
wataanza kuzikataa tafsiri zao
2026-11-12 08:43:34
1
user3013682670632 :
Bro big challenge iyo hawawezi kutoboa duh Uislam hatar
2026-11-12 19:26:22
2
Raj95 :
qur aan
isomwe kiarabu saf kabisa
2026-11-16 07:48:24
0
Jkm :
Kama iko kwa kiarabu inamaanisha mnaamini msichokijua kwa sababu lugha yetu sio kiarabu
2026-11-12 04:49:31
2
Kenneth Kiuthua :
yeye ni mtanzania ama ni muarabu!?
2026-11-13 18:55:22
1
batrico :
pia tafsir za qur-an ni nyingi kupitia hiz tafsiir zina lugha zao tofautitofaut
2026-11-17 20:25:17
1
Hazzan Dahl :
bro hpa umiweza sababu amisema tanzania hakuna wasome mbona hakusoma kiarabu quraan ni kiarabu
2026-11-15 08:24:29
0
Mosses ⚠️ :
MADHARA YA UTUMWA
2026-11-12 12:52:51
6
user3013682670632 :
kuna quran na tafsir vitu 2 tofauti
2026-11-12 19:30:22
0
user7463278123571 :
Kama haitafsiriki waswahili wataelewaje
2026-11-12 04:23:35
3
abuu sahly :
yupo sashihi,, kuna Quran na tafsir yake
2026-11-12 21:06:26
0
POOL CONSTRUCTION🦺🚧 :
Sasa Isomwe kiarabu nani anajua
2026-11-12 08:46:18
0
Joseph halkano malicha :
kiarabu si wote wanaelewa ndio maana kuwa tasfir we vipi
2026-11-11 19:32:09
2
Elyb_Fashion :
YANI KIUJUMLA 😁 TAFSIRI YA QURANI INAWEZA KUTOFAUTIANA ILA QURAN NI MOJA HAITOFAUTIANI
2026-11-12 09:18:52
4
KITABU NIPIKE NINI LEO :
je biblia wanayoisoma kwenye mdahalo wako imeandikwa kiebrania? biblia pia, je wanaisoma kwa kwa lugha gani?
2026-11-14 16:37:30
1
To see more videos from user @simulizimedia2, please go to the Tikwm
homepage.