@sati.waiti:

sati waiti
sati waiti
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 18:06:34 GMT
117099
3719
444
933

Music

Download

Comments

haji.ibrahm
guide francophone à zanzibir :
yaone tu usiombe ya kukute[Teary eyed][Teary eyed]
2026-11-12 03:57:43
9
anilliyyah
Kitoto Cha 2005 💘🫰 :
Kwani ndoa inaswihi kufungwa na majanaba ?! wataalamu naomba munijibu 🙄😕
2026-11-12 03:33:40
58
risolmikogo
KIDENSA :
Dah naitak ndoa km hii haina harama
2026-11-11 21:07:00
22
user2344845238277
Mrs idd :
muhimu dada kapat ndoa mengine mutajua nyie
2026-11-11 20:29:46
94
onlyo614
maryam :
kwa mujibu ya masharti ya ndoa haijasihi
2026-11-12 02:27:30
26
user919696982
mustwafa abuubakar :
sema ndoa za namna hio zinadumu sana
2026-11-12 11:40:19
7
nak9217
Nak :
saa 11 alfajir tujuane hapa
2026-11-12 02:24:13
88
mwanalove27
Msomal :
am single
2026-11-12 13:11:57
1
dee.chimamy0
dee chimamy🦋 :
tunaoangalia saa 10 tujuane
2026-11-12 01:31:43
21
rouiy32
cute ruuh memo🦋 :
Najua haiwahusu ila leo birthday yang😄😄
2026-11-12 06:44:45
5
fahadnoni34
💍🐇NONI✓FAHD🐬🇸🇦 :
ewe mola wangu mlez nakuomba ninusuru na ndoa hizi wanaume sote tuitikieni amin🤲🏽😂
2026-11-12 14:10:26
5
dasherryfaa
Farhat Sharifa :
hii bahat km ije kwngu niolewe mwajala nimechoka
2026-11-12 06:01:01
11
hafsakhamisjuma
Hafsakhamis. Juma. :
waisalm tunajisahau nikwel tukio baya lihukumiwe sio kw namna hiii hakika hiii ni fedheha tuombe mung aya mamb yapungue katk jamii zet kw weps wake Allah inshallah.
2026-11-12 13:06:44
5
maa.veee
Rey ❤️😍 :
cwez olewa hyo ndoa wakuuliza umekubali nasema cjakubali[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-12 13:31:10
0
user6854923120558
user6854923120558 :
kidada kizuri maashallah Allah atuhifadhie ndugu zetu na watoto wetu just mtihani
2026-11-12 07:39:11
5
xx_dhouh061
🦋Kim_nanaa🦋 :
Skuiz ndoa za hafla nazo nyingi kam vifo😂
2026-11-12 09:57:42
1
nolove7245
BROKEN HEART💔❤️‍🩹💔 :
ila wapembaaaaaa
2026-11-11 20:36:27
3
zeyhcosmetics
zeynab :
me sikubali kesho natoroka wakiniozesha hivyo
2026-11-12 05:31:04
1
dogohassan500
Hassan Boy :
Aibu utaona wew
2026-11-11 20:27:44
5
user8144516947347
DISIGNER :
mbona kama Pemba hii
2026-11-12 07:41:15
0
mocambiqu47
@ pas de reforme pas d' 🇿🇦 :
Allah Nijalie Ndoa Kama hiii
2026-11-12 02:19:20
3
adorablemother1
zayyad's❤Queen 💍🌷 :
ningepata harusi kama hiii 😂😂😂😂
2026-11-11 23:48:09
1
shayra9904
Shayra :
Mi mwenzen nawekew mafumb mtaan wenzang waolew mi siolew Yan mafumb had rah kis sijaolew kis mtt wake jiran kaolew ten ndoa ya mkeka na mimb juu 😂😂 nachok mie mwenzen kuniroga wananirog wao hawapumzk fulan asiolew mafumb wanipige wao na ndoa yenyew ndy ya mkek na mimb juu mm mung aninusur mbn watasem san watarog san ila si kwa ndoa ya mkek. Binaadam wabay sisi hay tu
2026-11-12 11:34:33
3
chubby_i1
chubby_me🍒🍓🍇 :
bi harusi ndo hata neti asikunje jamani 😂
2026-11-12 08:55:36
4
ayyatt46
Ayat cute :
cctv camer ziliwanasa🤣🤣
2026-11-12 12:13:36
3
To see more videos from user @sati.waiti, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About